Aisee umenikumbusha 1995 ambapo tuliambiwa tukichagua upinzani nchi itaingia kwenye vita kubwa na videos tukaoneshwa.
Ninachohisi ni kuwa wameanza na Daudi...
More to come....
Niwe ekskyuzd kama natoka kwenye mada lakini hiyo treni naona imepelekwa huko kisiasa tu. Wachagga hawajawahi kushindwa kwenda kwao kwa mabasi miaka yote. Hii habari ya treni ningeiona ya maana kama wangehamasisha kuelekea mikoa mingine kama Mwanza hivi. Tena iwe ya mizigo sio sana za abiria ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.