Search results

  1. K

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    nyie kama hamtompigia Zitto wengine tutampigia maana naona wengine mmanza kutumia kama wabunge wengine
  2. K

    Mhando kaamua kufa na tai shingoni?

    <br> <br>Watu wengi yaelekea hamjui sheria za manunuzi. kama tender ya mafuta ilitangazwa hawajasema kama Puma nao walikua miongoni mwa walio tender. Na kama alikuwemo basi sifa zote zinatakiwa kuaangaliwa na ambao watakidhi viwango hivyo ndio watakao shindanishwa katika bei. pengine sijui Puma...
  3. K

    Katiba mpya: Waislam watoa madai mazito Mwanza yawekwe kwenye katiba mpya

    Muislam utamjua kwa kauli yake huna uislam wowote kama umelala endelea kulala wewe na kuona keki wanakula wenzio unabaki kuangalia hatukuja duniani kushindikizana watu wanatakiwa kuishi na kufaidi rasilimali walizojaaliwa na muumba. mitego ya makufari huijui hadi siku utakapo hamia katika maisha...
  4. K

    Katiba mpya: Waislam watoa madai mazito Mwanza yawekwe kwenye katiba mpya

    Takwimu zipi zinazokueleza kwamba Waislamu wako Milioni 10 ndio wanataka sensa hii ianishe kila anaye hesabiwa na ajulikane ni dini gani ili kupata takwimu sahihi kuliko hizo zenu za uongo. Sensa zote zilizopita hakuna mahali wana hesabu wewe ni wa dini gani lakini cha ajabu mmeisha pata hata...
Back
Top Bottom