Search results

  1. Bikirembwe

    John Shibuda: Mbowe ni dikteta

    Ugonjwa waliokuwa nao CUF sasa umerithiwa na CHADEMA. Maalim Seif kwa CUF hakosei na kwa CHADEMA ni hivyo hivyo Mbowe ni malaika hana kosa. Tujitahidi kuchanganua mambo bila hivyo tutamalizana.
  2. Bikirembwe

    Hamad Rashid vs Freeman Mbowe=mt kilimanjaro vs kichuguu

    Ingawa niliusikiliza mdahalo huu mwishoni nakubaliana na wewe kuwa Mbowe alikuwa kama Kasuku anayesema yale aliyoyasikia tu wakati mwenzake (Hamad Rashid) alionyesha upeo wa hali ya juu ya uelewa wa mambo. Kama ingalifananishwa na mechi ya Mpira basi matokeo yake ni kama ya juzi baina ya Man U...
  3. Bikirembwe

    Hivi Wana-CUF Waliokuwa Hawajui Kuwa Chama Chao Ni Mamluki Wana Msimamo Gani?

    Kukukua kisiasa kwa CUF ndio kulikowafanya waweze kuinunua Amani kwa gharama ya kusamehe ushindi Zanzibar. Kama wasingalifikiria maisha na roho za watu zitazopotea basi wasingalikuwa tafauti na CCM.
  4. Bikirembwe

    Elections 2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

    Kama unaona kinyaa tapika au nenda haja kubwa. Kama wingi wa watu basi Wahindi na Wachina wangalikuwa na viti mara laki moja UN ukilinganisha na baadhi ya nchi. Ikiwa hamridhiki na ugawaji wa majimbo ya Bunge basi njia ni rahisi jitoeni katika huu Muungano kwani hata Wazanzibari umeshawachosha.
  5. Bikirembwe

    Wingi Wabunge wa Zanzibar wana umuhimu gani Bunge la Muungano

    Kwa nini nyinyi munaohisi kuwa Zanzibar inapendelewa katika hii ndoa ya Muungano kila wakati munatoa hoja ya idadi ya watu. Kumbukeni kuwa huu Muungano ambao ndio una matokeo mengi ( likiwemo hili la kugawa majimbo ya uchaguzi) ni makubaliano ya zilizokuwa nchi mbili Tanganyika + Zanzibar na...
  6. Bikirembwe

    Elections 2010 Nini kilichotokea Zanzibari? ni muafaka tu au kuna kingine Tusichokijua

    Kilichotokea Zanzibar ni uelewa kuwa maslahi ya Taifa ni lazima yaekwe mbele, ni kukaa na kupima between two side of coin. Kama Maalim Seif angeyakataa matokeo Dkt. Shein angelitangazwa tu na ndio ungelikuwa mwisho wa Serikali ya Kitaifa na kwa vyovyote vile roho za wananchi wasio na hatia...
  7. Bikirembwe

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Nawashangaa sana CCM! Kwa nini wasitwambie ukweli ? Asiumwe yeye ni nani kwa sababu ni Rais, tukumbuke Rais hakujiumba mwenyewe.
  8. Bikirembwe

    Ni uhaini - as simple as that!

    Kukaa kimya kwa JK kunatia wasiwasi naomba anayekumbuka anifamishe katika wale G59 Kikwete hakuwemo?
  9. Bikirembwe

    Zanzibar Kuwa Nchi

    Kama nimewakosea nawaomba radhi lakini msimamo wangu uko pale pale na nakusikitia sana Mkuu kama bado una mawazo kuwa Wazanzibari hawajui kuwaza wenyewe na kujua lipi zuri na baya bila ya kuwashirikisha waarabu. Kwa taarifa yako waarabu waliondoka Zanzibar baada ya Mapinduzi matukufu ya 1964...
  10. Bikirembwe

    Zanzibar Kuwa Nchi

    Kama ulisoma maelezo yangu ni kuwa biashara sio lazima kuwa na muungano ni nchi ngapi zinafanya biashara na hazikuungana na hata nyengine si marafiki kwa mfano Marekani na China. Kumbuka kuwa ikiwa nchi ina utaratibu mzuri inaweza kufaidika zaidi na wafanyabiashara walioko nchini kwao na...
  11. Bikirembwe

    Zanzibar Kuwa Nchi

    Kinachoniishangaza kwa wale wanaoona kuwa Zanzibar inataka kujitutumua kutoka katika katika makucha ya Watanganyika - kutoa hoja zisizo msingi, kwa mfano kusema wazanzibari wanalishwa na kusomeshwa na Tanganyika ni hoja ya kitoto kwani yale ni mashirikiano ambayo yanafanywa na nchi mbali mbali...
  12. Bikirembwe

    Elections 2010 Uandikishaji wa kura ya uchaguzi mkuu - Zanzibar

    Wakati uandikishaji wa wapiga kura nchini umemaliza katika sehemu zote mbili za nchi yetu yaani Bara na visiwani kuna kitu ambacho bado sijapata ufumbuzi wake.Kwa kawaida katika uandikishaji wa kura huku visiwani kuna uandikishaji wa aina mbili; wa kwanza ni wa Rais wa Zanzibar, wajumbe wa...
  13. Bikirembwe

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Jamaa ni mbumbumbu hata ikitokea kuchangia hutoka nje ya mada, kama mjadala unaelekea Kaskazini yeye ataelekea Kusini
  14. Bikirembwe

    Wito kwa Salim Ahmed Salim - Mpinge Kikwete 2010

    Nafikiri Babylon umeelewa - Muungano - ndio unaoipa SMZ kiburi cha kukataa mambo mengi yalo na manufaa kwa Taifa la Kitanzania - ikiwa kuna kitu wanachokipinga hutishia kuvunja Muungano na hapo SMT hugwaya - kuna siri gani ya kuwangangania?
  15. Bikirembwe

    Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

    Unategemea nini kutoka kwa mtu aloteuliwa MSANII na yeye si ataendeleza hilo hilo tu. Kuchekeshs na kusema asilolitekeleza . Ni mchezo wa kuigiza hauna ukweli wowote.
  16. Bikirembwe

    Wito kwa Salim Ahmed Salim - Mpinge Kikwete 2010

    Mkuu umechemsha ukweli ni huo uloelezwa na haupingiki makundi yapo, CCM Znz wanampiga vita SAS nk, sasa wewe unaleta picha ya nchi ilo na raia wanaijua demokrasia na ambayo haiendeshwi kwa mizengwe.
  17. Bikirembwe

    Wito kwa Salim Ahmed Salim - Mpinge Kikwete 2010

    Hongera Mkuu,uloyaandika ni kweli na hii inatuonyesha kuwa bado CCM Zanzibar ina nguvu pale wanapotaka kutikisa kibiriti .... jee karata yao ni ipi hata wasikilizwe?
  18. Bikirembwe

    Je ni nani Mzalendo wa kweli: Zitto, Pinda, JK au Lipumba?

    This is an illusion hakuna mzalendo wa kweli nchi hii si hao ulowataja tu bali hata mimi na wewe.
Back
Top Bottom