Search results

  1. S

    Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    Atafanyeje? ata......??
  2. S

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Frank usidanganye uma Alpha na Omega sio Jina la Mungu Alpha ni alphabet ya kwanza na Omega ni alphabet ya mwisho katika lugha ya Kiyunani (Greek) A na O ni mwanzo na mwisho
  3. S

    Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

    sasa cha ajabu ni umati? Mbona idadi hiyo haijafikia hata mapokezi ya silinde na msigwa?
  4. S

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Kwani viongozi wa dini wanaishi mbinguni? huwezi tenganisha siasa na dini: coz dini yenyewe ni siasa
  5. S

    Picha: Mkutano wa CCM Arusha ni Aibu kubwa!

    Ni kweli kamanda nimepita jioni hii Sanawari nikafikri ccm nao wanafanya promotion ya vinywaji
  6. S

    Uwiano wa Madiwani wa Arusha huu hapa. Je, Meya Gaudence Lyimo ataweza kukilinda kiti chake?

    Ndiyo hivyo tupo pamoja sikonge ni mimi pacha wako sikonge city. wavezya muhanya.
  7. S

    Uwiano wa Madiwani wa Arusha huu hapa. Je, Meya Gaudence Lyimo ataweza kukilinda kiti chake?

    Ongeza kiti maalumi kimoja ambacho cdm watapata baada ya kumtimua mmoja wale wa viti maalum
  8. S

    NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    sasa jamani kauli atoe mbatia; mwenyekiti huyu c alibwagwa vibaya na halima mdee kwenye uchaguzi wa jimbo la kawe 2010
  9. S

    Maandamano makubwa Misri: Serikali ya Tanzania, JWTZ na Polisi wanajifunza chochote?

    Umeeleza vizuri sana lakini nakupa pole kwani Tanzania hatuna Democracy bali tuna Demoncrazy
  10. S

    Siipendi CHADEMA

    Mmmmmh hebu angalia kipengele no 1 unasema Chadema inaongoza nchi? angalia upumbavu wa pili usije ukazidi upumbavu wa kwanza.
  11. S

    Uchaguzi wa kata 4 za Arusha waahirishwa tena

    Kama ndo hivyo bac waunganishe na ile kata ya sombetini tuone kimbembe
  12. S

    VOA: Godbless Lema amvaa Waziri mkuu Pinda

    Nimesikiliza voa wamewatafuta lema na nchemba hawakupatikana hewani hadi kipindi kinaisha
  13. S

    VOA: Godbless Lema amvaa Waziri mkuu Pinda

    Hakuna kilichozungumzwa lema na nchemba wote hakuwa wanapatikana hewani mpaka kipindi kinaisha
  14. S

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    we ni mnafiki mkubwa na mchonganishi aliomba msaada wa gari na kumuita mbowe ambaye alikuwa upande wa goli la basketi hapo soweto
  15. S

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Kwa sasa amehamishiwa Selian hospital Arusha mjini. kundi lililomvamia lilikuwa kubwa sana.
  16. S

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Nilikuwepo live mkutano uliisha salama kabisa. na watu walikuwa wameanza kuondoka kwa amani. ghafla kikasikika kishindo cha mlipuko kwa hali ilivyokuwa ilikuwa ngumu kuchukua picha . ombeni jamani
  17. S

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    kazi ipo hii kama kweli bac tunakoenda ni kubaya. Dat why baadhi ya watu walikuwa wanatabiri kifo cha cdm, kumbe sio utabari ni hujuma, kweli mungu na waungwana shetani na wahuni
Back
Top Bottom