Search results

  1. F

    Katiba mpya ni anguko kwa CCM?

    Wadau, Katiba inayopendekezwa haina maridhiano. Tafsiri yake ni kwamba, katiba hiyo ni ya CCM au upande mmoja,, na ina maslahi sana kwa CCM kuliko taifa.. Je wewe unaonaje?
  2. F

    CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

    Huyu nchemba amesoma??kwanini hasomi alama za nyakati kwamba tunataka amani sisi wananchi??..ccm wamshauri kabla hajaongea..
  3. F

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    Wananchi tuwe makini na siasa chafu..uchochezi haufai mwenye vielelezo kwamba chadema inahusika apeleke polisi..
  4. F

    Kumbe CDM hamna Wasomi

    Suala hapa sio cv kikubwa hapa ni hekima,uaminifu,na kusimamia vema mali za umma na rasilimali za taifa..cv mara nyingine huwa kama pambo..
  5. F

    Duka La Vifaa Vya Mapenzi

    wana jf hivi mi naona ni dhambi kuuza au kumiliki sex toys!!
Back
Top Bottom