Search results

  1. N

    Spika Makinda hana subira?

    :spy::spy:Kwa kweli spika wa tanzania amezidi kudakiadakia wakati wabunge wanatoa michango yao haoni kama ana jishushia heshima? Hana washauri wa kumweleza wadhifa huo ni mkubwa na unahitaji mtu mwenye kifua na mvumilivu. Pia ajue anaongoza watu na heshima zao awakosoe kwa makini na kama...
  2. N

    Riziwani Kikwete pole sana

    Riziwani mambo ya wakubwa hayo yatakusumbua kiongozi anatoka popote sio kusini au kaskazini au magharibi au mashariki wewe vipi?
  3. N

    Hivi tanzania tuna wabungeee?

    Bunge la tanzania sasa lashangaza hata majanga mnaingiza siasa, je tutafika? Kuna haja ya kuwapima akili zao ili tubaki na wabunge wenye akili timamu tumechoshwa na vituko vyenu .je waungwana munalionaje hilo ? watu wamekufa kwenye ajali wao wanaanza marumbano mimi ninamashaka na akili zao wewe...
  4. N

    Wenye akili naomba mniambie

    Nchi yetu tuna viongozi au tuna uchafu wa viongozi? Mauaji ya ushabiki wa kisiasa yataendelea mpaka lini? wananchi tuchague kiongozi gani atakaye leta ukombozi kwa watanzania.
  5. N

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Kanisani ni mahali penye nguvu ya Mungu watu wasipachezee kama majukwaa ya siasa wataumbuka kama mkenya
  6. N

    hodi jamvini

    naombeni ushirikiano wenu jamviniiiiii:eek2::flypig:
Back
Top Bottom