Search results

  1. O

    MSIBA:Peter Gachuma,Thomson Msigwa WAFARIKI DUNIA

    nimekupata sasa, mungu akutangulie zaidi + weekend njema pia
  2. O

    MSIBA:Peter Gachuma,Thomson Msigwa WAFARIKI DUNIA

    bwana ametoa ,bwana ametwaa jina la bwana libarkiwe.Amen
  3. O

    MSIBA:Peter Gachuma,Thomson Msigwa WAFARIKI DUNIA

    excuse me Bubu ataka kusema! kwa nini watz walioishi nje ya nchi wasiendeshe magari wakirudi Tz?nataka kujua tu naona ufahamu wangu ni mdogo sana
  4. O

    Huu upumbavu wa PF 3 utakoma lini?

    CORRECTION sorry nipipaste vibaya ni www.policeforce.go.tz
  5. O

    Huu upumbavu wa PF 3 utakoma lini?

    website ya polisi ni hii www.policeforce.co.tz
  6. O

    Mtanzania anaweza Kutajirika

    1. Tunahitaji tupatiwe huduma muhimu kama barabara ziweze kuwekwa kwa kiwango cha lami vijijini kote,kwani mazao yetu na mifugo yetu tuisafirishe bila matatizo Hapa ieleweke kwamba lami ni muhimu kwani hudumu muda mrefu hivyo kutupunguzia stress za matengenezo ya mara kwa mara. 2. Maji ni...
  7. O

    Is too much ram slowing down your computer?

    Ok ,Is Win9X "sawa na" winXP? If yes and true, thats why my pc(laptop) is too slow(has got 1GB).Is any one know how can I do so as to reduce the size of RAM from 1GB to 512Mb to make it work fast?? From my knowledge I thought it is possible to change PC RAM and not (laptop)
  8. O

    Dr. Mwakyembe on KLH News

    mwakyembe should be the first one please
  9. O

    CCM Pambalama!

    naomba munieleweshe wana JF wana brass ndio nani thanks
  10. O

    Siri ya SHEIN

    brazameni kwikwi kwi ! nimecheka kweli mpaka mbavu zinaniuma kwa hiyo kazi ya makamu ni kufungua na kukagua au...
  11. O

    Betrayed by our own people! Wahenga wetu damu yao ilimwagika bure kutuweka huru Tanz

    Sasa hii ni ngoma nzito,tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo. Kwa hiyo kwa mtazamo wanngu wa haraka haraka kutokana na ujumbe huu kutoka Canada kuna uhusiano wowote kati ya ujio wa Bush na kuuzwa kwa sekta yetu ya utalii nini!!! Kwa sababu moja ya mambo anayokuja kufanya GB ni kuona "uzuri na...
  12. O

    What would you do if you were ME!

    Kumbe bado yuko naye na hajamuacha !! Sasa kama kweli anakupenda wewe compared to her kwa nini hamuachi??? Au kwa sababu wote ni waislamu nawe una chance ya kuwa mke wa pili kwa imani ya kidini ndio maana anataka murudiane. Pamoja na yote aliyokufanyia kwa kipindi chote hicho hata akaoa...
  13. O

    What would you do if you were ME!

    mpaka mupime kwanza,mukishajuana afya zenu na kuona zinafanana munaweza kufanya mapenzi tena huku mukisubiri harusi yenu. kwani kama tunavyojua harusi inahitaji fedha na kujiandaa. Kama rafiki yako ni mwislam njia ni nyeupe kabisa kukuoa tena wewe kwani wenzetu kwa imani yao kuoa na...
  14. O

    What would you do if you were ME!

    Mhhhhhhhhhhhh mawasiliano ni kitu muhmu sana kwa kila binadamu, Hili swala la kutokujuliana hali wakati kila mmoja yuko mbali na upeo wa macho ya mwenzie ndio kikwazo na sumu ya mapenzi.
  15. O

    What would you do if you were ME!

    Do you really love him? i mean from your heart? If yes, we all human beings sometimes do mistakes.Give him another chance. I think he got married because you where far away from him and poor communication. as long as he knew he was not fair for you and apologise for you forgive him. Forget...
  16. O

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    MzalendoHalisi Ngoja tuone Mama Simba hapo alipowekwa kwani huyu mama nasikia kabla hajajiunga na siasa alikuwa polisi mwenye cheo cha juu tu. Na utendaji wake kikazi ulikuwa mzuri
  17. O

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Idimi, kwa mfano mimi nina sifa zote hzo ulizozitaja, Na kizuri zaidi nilikuwa natafuta rafiki wa kiume kwa muda mrefu tu,lakini kwa ajili ya uafrika asilia naona aibu kumuanza mwanaume kumuomba urafiki thanks umeanza. Pungufu langu ni moja tu umri wangu mie ni miaka 30 na miezi sita. kabla...
  18. O

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    Msola na Chenge wamerudishwa sababu ya kutopoteza ushahidi wa ripoti za mkataba inayofuata kujadiliwa ikiwemo ya BOT,watajiondoa wenyewe tu.JK anajua yote hayo yanayoendelea. Ngoja tusubiri....
Back
Top Bottom