Search results

  1. K

    Eti hii ni kwa nini?

    Sema ndg yangu shukuru,nachukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani uliokukumba kwa kweli ni jambo zito kwa maana ya kua,kupenda au kupendwa ni involuntary action ambayo huwez ielezea maana huwa inakuja tu from no where,any way ni daras refu kidogo,ngoja niingie ktk ushaur wangu,hizi hisia zipo'...
  2. K

    Je, ni kweli Mkwe taswira?

    Mm binafs naamin kila mtu anatabia yake,ila kwa kias fulan kama familia ina tabia chafu lazima kuna mmoja huwa anarith, sasa nachelea mtu asije akaoa yule ambaye ndo karith utakoma!,ila tunapochagua mashamba yetu ya kuweka mbegu ni bora tukaisoma vizur cv ya wakwe,wahenga wanasema lisemwalo lipo...
  3. K

    Kwanini siwapendi?

    mh!mbona unaonekana mkal kias hicho tina?mm najui nyuki mkal ndo mwenye asal tamu naamin huo ni ukal lakin una kikomo chake
  4. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    ww ndugu yangu umenipa jibu zur na lenye mafunzo naamini kwa wote wenye kujijtambua,thankx
  5. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    ww nugu yangu umenipa jibu zur na lenye mafunzo naamini kwa wote wenye kuijtambua,thankx
  6. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    c unajua kn watu wengine mashoga halaf wanajifanya rijal? na huyo msela kamwambia mke wake, yy (mume) akiwa na hamu ndo ataenda nje ila mkewe jamaa atakuja hapo home na jamaa atakaa sebuleni, mm naoana kamuolea mtu,ila ila swal lingine nawaachia JF kwa msaada zaid.
  7. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    mbona cjakuelwa,ulimwengu umepasuka umekusudia nn weka waz bac
  8. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    hayo mawazo yako yanaonesha ni kwa kias gan una moyo ila ndg yangu mume wako na awe kama deme heshima itakuwepo kwel? mawazo yangu mm wangetalikiana maana ni aibu kwa wote na ktindo cha laana
  9. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    yaan nakusudia demu ambaye ameolewa na huyo msela ambaye c rizik
  10. K

    Je Ungekua Ww Ungefanyaje?

    Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck...
  11. K

    Kisa Cha Mmbongo Na Mzungu

    Kuna mmbongo mmoja alienda ulaya na kwa bahat mbaya kingereza alikua hajui ila akapata rafik mzungu aliyeitwa Mlumbwende,ck moja walienda kuoga na huyo rafik yake kwa bahat mbaya rafik yake mzungu akamezwa na papa,akaja mzungu akamuuliza yule mmbongo kama ifuatavyo: mzungu: where is mr...
  12. K

    Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

    tupo pamoja ktk kumsaport kk JK lazima kieleweke kza but kk lunyungu
Back
Top Bottom