Search results

  1. Nono

    Anna Tibaijuka: Kimfumo uwezekano wa kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo

    Wamepanga sana nani awe mrithi. Ila kila zama hakuna liyefanikiwa kutinga ikulu. Mwinyi aliingia ndivyo sivyo, akaletwa Mkapa kwa Mbeleko ya Nyerere, Sumaye hakuamini JK alivyoingia, Magufuli kikawa kama kifurushi kutoka juu, Samia wakajiuliza kumbe katiba ina tobo kubwa kiasi hiki? Tujiandae!
  2. Nono

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Kwa katiba yetu, fikiria jinsi Makamu wa Rais mlafi anavyoweza kula njama na kumuua Rais ili arithi. Katiba mbovu kabisa
  3. Nono

    Jerry Silaa: Marufuku Wananchi Kununua Ardhi ambayo haijapimwa. Kuanzia Sasa Ardhi itauzwa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji

    Wapeme kwanza, na sio kupiga filimbi zisizokuwa na wenyewe. Wapima ardhi ni wezi na matapeli wa kutosha. Kazi yao ni unyang'anyi usii na kifani
  4. Nono

    Jerry Silaa: Marufuku Wananchi Kununua Ardhi ambayo haijapimwa. Kuanzia Sasa Ardhi itauzwa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji

    Aache ujinga huyu waziri. Migigoro ya ardhi iliyosababishwa na atdhi ni kibao. Wameshindwa kuitatua, sasa waachiwe wauze Tanzania nzima kweli.
  5. Nono

    Ndugu yangu ukipata fursa tembelea Ethiopia hakika hutajutia nauli yako

    Usiendeshwe na mihemuko ya kingino. Wanawake wengi wazuri hawakuwahi kuolewa. Uzuri wa ngozi sio uzuri na utamu wa nyama, wala upole wa mnyama husika. Tulia tafuta mwanamke mwenye nidhamu, heshima na busara, utaishi maisha marefu. Zaidi utajenga uchumi wako na kuchangia uchumi wa taifa.
  6. Nono

    Usishabikie upinzani kama hujui mambo haya

    Upuuzi kutoka kwa mfaodika wa upuuzi. Wamarekani wanaamini ubepari achilia mbali uliberali. Ujamaa ulifanikiwa wapi? Wachina wenyewe uliwashinda. Rubish at its scale
  7. Nono

    Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Uamuzi wa kumuondoa mwl mkuu kwenye nafasi yake ulikuwa uamuzi wa kijinga na kipumbavu. Hivi ungemuuliza huyo Mkenda, wale watoto walivyokuwa wanacheza kwa miondoko ile, walifundishwa siku hiyo? Utandawazi ndivyo ulivyo na hauna nafasi kumsubiri mpumbavu mmoja hadi akae sawa. Mwl arudishwe...
  8. Nono

    TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mtu aandike barua Feb ajibiwe Aug?? Mie?i 7 baadae. Hapa iko shida kubwa
  9. Nono

    Zanzibar yakabidhi Uendeshaji wa Bandari yake kwa Mwekezaji toka Ufaransa kwa miaka 5

    Pia waweza kuwabinafsishia mkeo wawekezaji huku ukiwaacha Watanganyika na uhovyo wao
  10. Nono

    Kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme inaweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme?

    Pamoja na uwakili wako wa shetani, asante sana kwa andiko ha hoja nzuri. Mitizamo kama hii ni muhimu kwa maendelea ya taifa letu. Teknolojia hii ya kuzalisha umeme binafsi na kuingiza kwenye gridi imetumika ktk mataifa yaliyoendelea, mfano Ubelgiji. Huu ni utatuzi mkubwa sana kufidia kuliwango...
  11. Nono

    Rais Samia alitetemesha Taifa. Watu wabubujikwa machozi ya furaha utafikiri wamewekewa pilipili machoni

    Nishakwambia acha upimbi. Angrkuwa na uchungu angewapa watanzania fursa za kuendesha miradi yao na sio kuwapelea waarabu.
  12. Nono

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Ukinisoma momi na kujichunguza mwenye, majibu unayo.
  13. Nono

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Matangazo ya nini kama hutafuti mtaji hapa. Acha upimbi! Nakuamhia tena tafuta jembe kalime ujipatie kipato.
  14. Nono

    Waraka wa Kanisa Katoliki na Nafasi ya Kanisa Tanzania, Tutarajie...!

    Wewe uliyeleta unapaswa kuthibitisha
  15. Nono

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Namba za simu unatuwekea za kitu gani. Acha ujinga. Chukua jembe kalime!
  16. Nono

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Naona unapambana kweli. Chukua jembe kalime, utalisha tumbo lako na kuwa huru na mwenye fikra huru. Achana na kuchumia tumbo kwa kuandika utumbo JF
  17. Nono

    Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

    Sawasawa, Kenya watajenga reli na kupewa hisa nyingi kwenye bandari ya Mombasa. Upande wenu mlivyowakabidhi bandari zote, yadi zote na njia za usafiri wanawapa nini?
Back
Top Bottom