Search results

  1. M

    Mashaka Wa Takukuru Kiboko!!!

    Wana JF Taarifa tulizopata kwa wiki hii nzima hasi leo, zomebainishwa yafuatayo:- 1. Lilian Mashaka amekuwa akitoa mambo yanayohusu TAKUKURU na Hosea ili akamaate uongozi wa TAKUKURU, 2. Lilian Mashaka alikuwa na uhusiano wa karibu na KAMAZIMA ndiyo akajiandaa kumrithi, 3. Mwarabu...
  2. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Mkuu Augustoos, samahani sikusoma vizuri hoja yako mwishoni nikaelewa tofauti. Sorry, kwa kutokukuelewa please!
  3. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    wana JF, nimepitia hoja hii nzito kuhusu HOSEA, lakini TAARIFA ya MWAKYEMBE imetuacha SOLEMBA. Kwa sababu haijawataja watuhumiwa ili tuwajue na ushahidi wa kuwa na hisa katika RICHIMOND. Inaonekana Mwakyembe anamuogopa LOWASSA ndiyo maana kamsafisha mwishoni, SIASA NI MCHEZO MCHAFU. Kwa nini...
  4. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Hiyo sheria tunaijua kaka, tatizo ni kwamba soma HOJA ZA SANDE kwanza utupe majibu. Ushahidi wa kamati ya MWAKYEMBE na majina ya wanaotuhumiwa kwa rushwa ili waende mahakamani. Hatuhitaji maoni ya watu bali zingatia hayo kwanza.
  5. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Msanii, Sande anataka apewe majina ya wala rushwa kwa ushahidi wa tume ya Dr. Mwakembe. Mimi nafikiri tumtafutie majibu badala ya kulumbana wana-JF, mimi bado sijapata majibu lakini nayatafuta nitamjibu. Shabani.
  6. M

    Hoseah na Richmond

    Du! Maneno mengine yanavuka mpaka, au uongo wa kiingereza unakubalika? 1. JF nyumba ya mbezi imekuwapo hata kabla ya BARRICK kuingia nchini 2. BOT hachunguzi Hosea kuna wengine pia, au Hosea atawahonga polisi, mwanasheria mkuu, usalama wa taifa n.k. 3. Lowassa amewajibika, lakini...
  7. M

    Hoseah na Richmond

    Kashogi, JF si ya wahuni na watukanaji kiasi hicho, toa hoja. Kwa jinsi tunavyoendelea tutaonekana wote ni wahuni na wavuta bangi kwa sababu ya lugha zinazotumika. JIHESHIMU ILI UHESHIMIWE, KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA!
  8. M

    Hoseah na Richmond

    Good, mawazo yako ni sahihi, RAIS anapaswa kuamua, na masuala ya kitaalamu yasiathiriwe na maslahi binafsi ya watu na kuifanya JAMII FORUMS ya kihuni zaidi. Pia hata taarifa ya Mwakyembe nashawishika kusema kuwa iliingiliwa na HISIA na kundi fulani linaweza kuitumia ili kufanikisha malengo yake...
  9. M

    Hoseah na Richmond

    Ok, ushahidi wa kama kwenda Bungeni unaweza usiwe na sifa za kusimama mahakamani Dr. Hoseah ndiye mwenye mamlaka aliyopewa na Rais na hili linaweza kuulizwa na RAIS kwani ndiye mwenye mamlaka juu yake. Kwa kifupi taarifa ya Mwakyembe ingehitaji maelezo yake kama ilivyo kwa LOWASSA naamani...
  10. M

    Hoseah na Richmond

    Good, una mawazo mazuri mno na hata mimi pia niliwaza hivyo hivyo, Jiulize maswali yafuatayo kabla ya kutoa mwelekeo:- 1. Sheria zilizopo zinampa mamlaka Dr. Hoseah kumshitaki mtu mwenye kinga? 2. Kama Kamati ya Mwakyembe ilikuwa makini Kwa nini haikumhoji LOWASSA? 3. Dr. Msabaha katika...
  11. M

    Hoseah na Richmond

    Nawaombeni wa JF mimi nikiwa niko pamoja nanyi kuwapa ukweli wa mambo kwa ufupi. Kashfa anazopewa Dr. Hoseah msingi wake ulianza 2006 wakati KAMAZIMA anakaribia kustaafu. Kuna kambi iliyojipanga kuhakikisha kuwa jina la DR.HOSEAH linafutika katika historia ya TAKUKURU na LILIAN MASHAKA...
  12. M

    Hoseah na Richmond

    JF Nakuunga mkono kwa moja kubwa ulilosema 'UONGO WA BABA HUANGAMIZA FAMILIA, NA UONGO WA MWANASIASA HUANGAMIZA TAIFA'. Mambo ya TAKUKURU ni usiri na unyeti, na wana MKUU wao ambaye ni Rais.TUMWACHIE RAIS AAMUE! MRISHO SHABANI
  13. M

    Hoseah na Richmond

    Wote mnaoandika nimeona ni watoto wa KAMAZIMA, watu gani nyinyi msiotaka mabadiliko. Lipi alilofanya Hoseah lililo tofauti na KAMAZIMA. Utaratibu mnaosema kuwa ametumia Hoseah na KAMAZIMA unatofauti gani. Ninyi tunawajua, makosa yenu mnayajua, msilazimishe kuingia madarakani. Wewe...
Back
Top Bottom