Search results

  1. paul vicent

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    nimekukubali haya ni mambo ya msingi sana kuyazingatia wengi uwa hatuyaangali haya..mungu akubariki kwa kujali uhai wa watu
  2. paul vicent

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    tatizo la nchi yetu hata serikali haithamini taarifa zenye kuleta mgawanyiko.kwa nafasi aliyonayo raisi wa nchi katika hili ilibidi ajibu neno.maana dr mengi ni msaada mkubwa sana kwa watanzania pia hivyo mambo kama haya huleta shida hapo badae.
  3. paul vicent

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    shida kubwa tanzania hata wanajua sheria na waliopewa dhamana ya kuzisimamia ndio wavunjaji wakubwa.
  4. paul vicent

    Uchaguzi BAVICHA kulikoni?

    Nimeona nchukue fulsa hii kuzungumzia uchaguzi wa baraza la vijana chadema taifa.Kiukweli nimeshangazwa sana na nilio yasikia na kuyaona kwenye social network.Watu kutumia fulsa hii ya kampeni kuchafua wenzao kuwaita wafuasi wa mtu fulani na hali si kweli.Hii kitu imeumiza wengi hasa wenye nia...
  5. paul vicent

    Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Raia wa Arusha shirikianeni na serikali kudhabiti matukio haya yasije leta maafa makubwa zaidi,,maana ugaidi ni mwingi Kenya isije kuwa ni moja ya milolongo ya matukio ya kigaidi nchini kwetu.
  6. paul vicent

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Mimi binafsi sijaona alichoongea cha msingi...kama huu muungano na halali basi na sisi turuhusiwe kununua ardhi visiwani mbona upepo wa bahari tunaupenda pia?
  7. paul vicent

    Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    Hili ni tatizo na inabidi huyu ashughulikiwe ipasavyo
  8. paul vicent

    TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    kumekucha
  9. paul vicent

    Nape anza kuangalia dignity yako katika jamii na historia ya Tanzania!

    Nape anafanya makusudi kwa maslahi yake binafsi sio kwamba hajui kwamba wanatjumiza Raia
  10. paul vicent

    Nimependa maelezo ya Peter Msigwa BBC muda huu

    Chadema wote ni makini sanaaa
  11. paul vicent

    Hii ndio Silaha Kuu ya CHADEMA!.

    mtaji watu ndio jambo la msingi sana kwetu wana chadema .na hii ni kwa sababu ya kuwa na sela nzenye tija kwa jamii nzima inayotuzunguka:yell:
  12. paul vicent

    Mbowe acha pupa, mambo ya chama hayaendi hivyo

    timamu yule hakurupuki hajaanza siasa leo
  13. paul vicent

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    Kuna Watu humu ni wale wabunifu wa mambo ya kidaku Kama momma nimemsikia akizungumzia swala la dada Linda Bezuihout Yule dada ni Mtanzania mwenzetu tena Ana haki zote za kuwa chama chochote cha siasa tena kidemokrasia kabisa,ila wanaplopaganda wa chama tawala hawapendi kuona Watanzania wanna...
  14. paul vicent

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    ccm wamezaliwa katika unafiki lazima wawe wanafki,ingawa wanajijua kuwa ni wanafiki
  15. paul vicent

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    kumbe nyie ndo mnaochafua majina ya wanaharakati kwa manufaa yenu kisiasa mungu atawalaani.yule dada ana kipi kibaya alichokifanya ? Kama sio udaku wenu.
  16. paul vicent

    Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    wewe sio mzima,hata kama anakaa kwa dada yake pesa uwa unampa ?
  17. paul vicent

    Mabomu ya Machozi Yanapigwa Ruaha (CCM waachieni CHADEMA Ushindi Wao)

    Mpaka kufikia sasa hali haina garantee kwani polisi wanalanda mitaani,kuwatisha raia lakina kiina cha yote ni selikari kutokuwa makini,jana raia waliingiwa na hasira na kwenda kuvunja nyumba ya mgombea huyo wa ccm ,na machafuko yamedumu kanzia saa saba mchana hadi saa tatu usiku,hivyo...
  18. paul vicent

    Ni siri gani Rais Kikwete aliongea na maaskofu jana Arusha alipojifungia nao ndani peke yao??

    umeongea kiroho zaidi ila tambua tokea karne ya 18 tawala za dunia ni under devil system
  19. paul vicent

    Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

    NI,kwa sababu,,ya,lugha za kibantu kufanana
Back
Top Bottom