Search results

  1. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    wewe emmyta unamdanganya Jinja malon aka Dabby. Kudanganya cyo vizuri ujue
  2. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    wengi wetu shughuli zinabana na bundle linasumbua ndio maana hatuonekani humu mara kwa mara. Hamjambo lakini
  3. L

    Nitawamiss nyote

    Na shemeji unaenda nae au yeye unatuachia tuwe tukutunzie........o_O
  4. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    "hovyo kabisa hizi barabara", wananchi walisikika wakimlalamikia kiongozi wao
  5. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    ethics za nini tena kwenye huu uzi jamani mbona hivo
  6. L

    Sijawahi kutongoza JF! Huwa inakuwaje?

    Unaanza kwa ku-like posts zake hata kama anaongea pumba, then unakuwa unajibu post zake kwa kumsifia, then unahamia PM, huko sasa unajiachia. All the best..., na mrejesho ulete hapa hapa
  7. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtu huyo atakuja vipi huko nawe ushamtishia kifo
  8. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    CCM ni chama tawala nchini Tanzania
  9. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    washindi kivipi jamani mbona hivo? Mshindi wa uzi huu ni mimi hapa
  10. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    hapa mshindi ni mimi coz nimekuwa wa mwisho kujibu uzi wako
  11. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kuyabeba haikuwa issue sana, issue ilikuwa wapi pa-kuhifadhi
  12. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jana si nikasahau kubeba mwamvuli, mvua ilinilowesha balaa
  13. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Akiwa Waziri jamaa aliruvuga sana
  14. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kunguru wa Zanzibar mbona nasikia wakorofi
  15. L

    Msaada: Maelezo kuhusu HIV na 72 hours after infections.

    Walioathirika yatari PEP Kits haziwezi kuwasaidia coz tayari wadudu wameshasambaa mwilini. PEP kits zinafanya kazi kuzuia wadudu wasisambae na ndio maana mtu anatakiwa kuanza dose yake haraka sana mara tu anapohisi amejiexpose kwenye kwenye maambuziki ya vijidudu vya ukimwi kwa namna moja ama...
  16. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kumtambulisha kwa kaka noma, bora kuanzia kwa wazazi kaka ana hasira utakoma, atakukatalia wazi wazi wajomba nao watajinoma, endapo watapewa mbuzi ukitaka mapenzi ya dhati, ni bora kuyaweka wazi
  17. L

    Msaada: Maelezo kuhusu HIV na 72 hours after infections.

    Analyse, Post Exposure Prophylaxis (PEP). Ni dawa anazotakiwa kupata mtu ambaye anahisi amepata maambuziki ya Ukimwi. Zinatakiwa kumezwa haraka ndani ya Masaa 72 mara tu pale mtu anahisi amekuwa exposed na HIV. Ni kweli 'zinasaidia' sana kuzuia maambukizi endapo muhusika atatumia dawa hizo...
  18. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    huku hawaji coz vigezo na masharti yake magumu, mpk ufatilize uzi ulioisha uendeleze pale umeishia, lkn kule kwingine ni kujiachia tu kwa raha zako. tena ngoja niende kwenye lile Jukwaa
  19. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Amina. Na tuzidi kuomba Mungu awape nguvu na uvumilivu wazazi, walezi, ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao katika ajali hiyo
  20. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mimi ninaongoza, wengine wanafuata
Back
Top Bottom