Search results

  1. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    zzk pambana hadi kieleweke kwani hata madiba aliitwa mhaini. Bora uwe mhaini kwa hiyo saccos, kuliko kuwa mhain kwa watanzania
  2. M

    Mbeya: Ajali mbaya yatokea maeneo ya Igurusi; watu watano wafariki hapohapo

    Jamani ajali i emetokea katikati ya Igurusi na Chimala pale wanapolima miwa na punga kuna ubichi mwingi kimtindo. Nimekuta lorry li e chocholea mwenye Vitindi a.k.a mianzi.
  3. M

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Vyama vya siasa sisiondoe Uzalendo wetu, kama watu tulio waamini wanatuangusha tusikae kimya bila kuhari ni CDM,CCM au NCCR. ni upofu na ulimbukeni kama tutamjadili NCHEMBA huku tukijifanya vipofu tuuache uchafu huu upite. Tumlazimishe MBOWE ajibu uchafu huu, bahati nzuri limeongelewa Bungeni...
  4. M

    Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

    TUMEZIDI MAJUNGU JAMANI! UNAFIKI WA CDM MSIUHAMISHIE CCM. MSITOE HABARI KABLA YA KUIBALANCE, FANYENI KAZI ACHENI UVIVU WA KUFIKIRI VISOKOLOKWINYO. MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI. KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI??? WATU...
  5. M

    Ama kweli magufuli kiboko apiga kambi daraja la simiyu

    Piga kazi Magufuli, wanafiki wataishia kununa tu Wacheke wana meno!
  6. M

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    CDM ni chama cha kikanda na ni chama chenye wawazo mgando, yeyote asie kubali kua kivuli cha mbowe lzm ataenda na maji. Hivi vikao vya harusi hutoa maamuzi bila hata mtuhumiwa kuwepo na kupewa nafasi ya kujitetea! Huo ni woga. Kwann msinge subiri Zito arudi? Mmesahau ya Kafulila? CDM itabaki...
  7. M

    Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

    Mungu mkubwa!!!!!!!!!
  8. M

    "Anayevaa nguo ya mama yako ndio baba yako" - AG. WEREMA

    Wenye akili ndio watatudharau! Ila mm namdharau sana huyo anaeona wakenya ni miungu wake, yaani naona aibu kutomdharau mossad.
  9. M

    Chadema njombe yatekeleza mkakati wa kumg'oa anna makinda na ccm 2014/15

    Mnatia kinyaa kuijadili Chandomo! Kwani hata Tom nyimbo aliibeba sana lkn kwavile ni chama cha Kaskazini, Wakuu wake wakampuuza na kumfanya ajione kama pesa yake anatupa chooni. Ndoo maana kaamua kutumia pesa yake kusomesha maskini kwenye shule iliyo pewa jina lake kule IGELANGO. CDM kina...
  10. M

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    C wote wana vaa mavazi ya chadema ni chadema. Nadhani walio mvamia ni askari kwani ushahidi wa uniform C upo! Tumieni akili kujadili mambo ya msingi. Naamini C chadema wala askari bali ni wahalifu tu. Lkn kwavile ni mkubwa kaumizwa najua watapatikana tu. Ila ingikuwa ss walala hoi, Thubutu kama...
  11. M

    Lema: Posho si dhambi, dhambi ni posho inapokosa utu

    LEMA ni fisadi tu! C kila fisadi yuko CCM wengine wapo CDM.
  12. M

    Posho Bungeni: Zitto, Lema katika vita ya maneno

    Wabunge wa chadema wanafiki sana! Hasa huyo mbowe anamiliki majumba hadi Oman lkn anakomaaa na posho anasahau kuwa mpiga kura wake ni maskini anae hangaika kupika pombe ili watoto waende shule. ZITO KAONYESHA MFANO HATA KAMA NI UNAFIKI LKN C KAKATAA BWANA!.
  13. M

    Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

    Nchi hii ina sheria lkn watunga sharia ndio MAKENGANJUHI wakubwa wanabaka lkn nani atawapeleka mahakamani wakati polisi ndo washenga wao? Watanzania ni Mabingwa wa kusahau kama tumerogwa vile! Wandishi walisema hawataripoti wiki ya nenda kwa usalama mkoani Iringa lkn TV zetu na magazeti...
  14. M

    John Jambele "Mjesani" na Uongozi wa Yanga

    Na hao mambumbumbu akina kitenge wanakupigia debe Jambili ili tu wamtumikie bwana wao Mengi, Eti mwanahabari anataka atafutwe na Mgombea? utawapata hao hao wenye njaa kama wewe. Lakini usichoke kitenge na radio one yako endelea kupigia debe wanao kutafuta. siku zote habari hutafutwa bwana vipi...
Back
Top Bottom