Search results

  1. M

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Labda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sana
  2. M

    Mchepuko Umeniponza

    Nimecheka bila kutarajia
  3. M

    Nimempenda teller wa benki fulani

    Halafu kesho wanaomba kufundishwa namna ya kukopa
  4. M

    Angel Benard aolewa mara ya pili

    Eeh ila watu mnakuwaga na information aiseee
  5. M

    Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    Ila mwisho wa siku tutafute fedha tusije kushare magari na watoto wetu
  6. M

    Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    Hili ni swali pana sana na halina jibu la moja kwa moja. Inategemea mama yupo na baba au yupo peke yake, kama yupo peke yake kiheshima mnapaswa kumpa offer ya kukaa mbele coz kiafrica kiti cha mbele ni cha heshima yeye mwenyewe ndio akatae aseme atakaa nyuma. Pia inategemea na mchango wa mama...
  7. M

    Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

    Duh[emoji134][emoji134][emoji134] salute
  8. M

    Aina tano za wanaume

    Ambao wetu hawapo hapo tunajibia wapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Cheka ila msg umeipata 😂😂😂😂😂😂
  10. M

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Povu lolote ni povu, ndio maana ushaliita povu
  11. M

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Wewe ndio mburullah ambao mnaendekeza huu ushenzi uendelee, surprisingly wewe ni mwanamke. Hivi huyu binti alijipa mimba mwenyewe? Kama huyu mburullah mwenzio alijua hamtaki y hakutumia kinga? Watu wanatakiwa kujifunza kuchukua responsibility ya makosa yao wote sio mzigo abebe mmoja no...
  12. M

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Na unavyosema hamkuwa kwenye mahusiano ulikuwa unamkojolea kwenye ndoto? yaani watu kama nyinyi huwa mnaudhi sana. Kama hukuwa kwenye mahusiano nae hukujua condom? Take ur responsibility mimba hailetwi na mtu mmoja bali ni unganisho la watu wawili na huyo wa pili ni wewe. Na wewe kwa mtizamo...
  13. M

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Makaura wewe mshenzi kabisa sasa hapa umekuja kumaliza stress zako au? Watu wanakupa ushauri umeng'ang'ana na yako sasa ilikuja hapa ili iweje maana umekuja unaomba ushauri halafu wewe ndio mjuaji. Siku nyingine msiwe mnapost ushenzi wenu humu Wachangiaji nawapongeza sana tungekuwa wakali...
  14. M

    Tanzania: Chanzo cha kuporomoka kwa Maadili katika Jamii na Hatma ya Taifa!

    Kwa kweli huwa sipendi post zako ila leo umeongea ukweli. Hata kuhusu kukanya, hawakanyi watoto wao wakikosea kwa kigezo cha upendo. Wanajidai wanaiga wazungu wakati wazungu wengi tu wako strict na watoto wao, hawachapi ila wana adhabu zao. Leo hii jaribu kumkanya mtoto wa mtu uone mzazi wake...
  15. M

    Wadau mnalichukuliaje suala la mwanaume kuhama kwake/kwao na kuhamia kwa mwanamke wake?

    MadameX napingana na wewe kwenye hili, wapo ambao wameolewa na hata ndugu wa mume na wa mke hawajui vitu ni vya nani. Wapo walioshia kumnyanyasa mke na kusema wanafaidi za kaka yao wakati ni za mke na hao wamama hawakunyanyua kinywa. Kuna kesi moja ambayo ndugu wa mume walikuja kujua vitu ni vya...
  16. M

    Wadau mnalichukuliaje suala la mwanaume kuhama kwake/kwao na kuhamia kwa mwanamke wake?

    Sijam-attack personaly nimeattack kauli yake, there is need for change. Kwanza naomba ujue mimi ni mwanamke na si mwanaume. Point yangu is mbona sisi huwa tunabebwa sana na waume ila hawatunyanyasi, y sisi tuwanyanyase inapofika hatua kuwa mimi nimefanikiwa kuliko yeye? Labda nikuulize...
  17. M

    Wadau mnalichukuliaje suala la mwanaume kuhama kwake/kwao na kuhamia kwa mwanamke wake?

    Yaani nakubaliana na wewe, madameX umekosea sana unaongelea kumnyali mumeo coz anakaa kwako je na yeye akikufanyia hivyo coz unakaa kwake? Utaitaje kuwa anakunyanyasa? Maisha hayana formula leo mume anacho kesho mke anacho mnachotakiwa ni kulindiana heshima. Tena ni jukumu la mama kulinda...
  18. M

    BIMA (INSURANCE): Uliza chochote kuhusu biashara ya Bima

    Mkuu mtazamo ungeanza na kutupa tofauti zake, hii elimu hata mimi naihitaji sana
Back
Top Bottom