Search results

  1. E

    Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

    Toto zuli we hujakidhi haja za great thinkers site
  2. E

    Duuuuuuu hiki chuo noumaa

    Me nashindwa kuelewa,hv kama mtu anaandika kitu humu jf,ambacho kiasi cha akili alichotumia ni 0.0001 per think, anawezaje ku-access mtandao hadi kufika jf ambayo kiwango cha akili kidogo kinachohitajika ni kibwa compare to his/her topic? Jaman humu kuna forums nyingi za kutosha kukidhi mahitaji...
  3. E

    maajabu ya udsm

    Me mbona cjawaelewa,ina maana chuo kikuu udsm kina kozi za ufisadi,rushwa au mfumo wake una surpot hujuma?
  4. E

    Maajabu ya udom

    Sio maajabu,ni jambo ambalo sio miracles.
  5. E

    Changa moto kuu za Sensa

    Wakati maandalizi ya zoezi yanasemekana kupamba moto, pia kuna changamoto nyingi pia zimejitokeza katika maeneo mbalimbali hasa pale walipotangazwa wasimamizi wa shughuli hiyo. Inaelezwa kuwa uteuzi wa makarani umekabiliwa kwa kiasi kikubwa na :- 1.rushwa 2.ukiukwaji wa principles za...
  6. E

    TCU selection hizo!

    Mbute u look like a great thinker! U became so different from other forums members coz of u are eligibility in your in explainations.
  7. E

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Vibaka wa CCM acheni kutumwa bila kupewa akili na principle za kazi yenyewe,hv zitto angekuwa fisadi kulikuwa na haja gani kuwa na operation ya kuwafichua mafisadi? Si angeungana nao kisela tu kama wanavyofanya ccm waliokutuma? Me naelewa jamii imekuwa na ckio la pekee kwa sababu ya wa2 kama zitto.
  8. E

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Nashangaa hata jf pia CCM wameweza kuaccess duh? Ndo maana baadhi yenu mnaongea maneno ya kinafiki na kutuhumu wa2 ambao kiukwel bila wao watanzania wengi wangekuwa bado wanasinzia kifikra,kisiasa safi,na ugonjwa wa kutotambua haki zao.ZITTO USIWE NA WASIWASI JUU YA VIBARAKA WA CCM WALIOTUMWA...
  9. E

    Inakuhusu; uwe kwenye ndoa au la! Soma ndugu yangu!

    Safi sana ina mafunzo na mantiki ya kutosha. Shauri yenu mnaosema ametunga,oh mara uliwahi kuisoma! Hatuhitaji kujua wangapi wamewahi kuisoma bali ni wangapi wameifanyia kazi na kufaidika nayo.
  10. E

    Do you know about this company?(tanzania students and scholars foundation ltd.)-*****

    Mr mbute,incase of your 2 questions the important issue is to stay on towards the company's main objectives as already mentioned, and in addition the company has a mission of not to fail her goals as it needs so much your admition and more cooperation for high success, so the cooperation is easy...
  11. E

    Do you know about this company?(tanzania students and scholars foundation ltd.)-*****

    ***** is registered under the companies ACT,2002 in the united republic of TZ.The main objects for which the company is established is to develop,educate,train and equip african women,men,students and scholars community in particular with knowledge,information,skills,competence and...
  12. E

    Hadi lini atleast kila m -tz atafaidika na elimu yetu?

    Kama ilivyo ada tunaelewa elimu ndo kila ki2, japo kuna wahun wanasema eti hela ndo kila kitu,ambapo ni SAWA NA MATUSI YA MATAWI DHIDI YA SHINA kigezo menyewe yanaonekana zaidi ila hayana nguvu na mzazi ni shina.tuulizane hadi lini mtanzania wa kawaida atakuwa na elimu ya...
  13. E

    Flash disk haifunguki

    Kaka kuna diplay yeyote inaonesha? Au haisomeki kabisa
  14. E

    Siasa na mafreemason

    Kuna mambo tukiwa kama jamii lazima tuyachunguze na kuyaelewa kwa sababu yanatuzunguka au yanasemwa, na ikumbukwe lisemwalo huwa lipo. Ebu tujiulize kuwa na viongozi hasa wa kisiasa waliojiunga ktk imani binafsi ya mafreemason hawawezi kutupotosha kwa namna kadhaa hasa kulingana na sheria za...
  15. E

    Hii issue inanikosesha raha....naomba maoni yako

    Na we dada acha mambo ya ajabu, unaleta kivuli bila sababu. Kwani amekufanyia nn unashindwa kufunguka? We hutaki ushauri unaleta usumbufu, hata bible yenyewe kwenye kweli imesema hivyo hivyo.
  16. E

    What do Women have to Offer in Bed?

    Sombdy nyumba kubwa and others like u! You are so down and shallow in case of moral values and also obvious you uses feeling rather than awareness in your daily operations.
  17. E

    What do Women have to Offer in Bed?

    So Neema u feel proudly to be naked? Au unamaanisha nn? Mambo ya mahusiano sio chumban bali general habits also inahusika
  18. E

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    Jembe una akili, una fikra ndefu
  19. E

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    We sio wakuziba bali wakuzibuliwa,mwanzoni nilidhan unaushauri wenye kuleta tija,lakini tatizo una elements za kutumwa kisiasa na mtu au mwenyewe bila kupewa njia na mwongozo mzuri wa kuleta hzo fitina zako, slaa ni jembe tu na wala hajabadilika,mambo ya ndoa ni ya wa2 binafsi na hayamfanyi...
Back
Top Bottom