Sisi wazanzibari tunachotaka huu muungano ufe, maana wenzetu wadini na wabaguzi
Mangapi mmeyaamua kupitia muungano na yakaathiri Zanzibar na hatukutishia kuangusha serikali
Wazanzibari tulio wengi tunaimani kua chadema Ni adui wa Zanzibar.
Tunaamini bora ccm kuliko chadema
Tunaamini hta hili povu kuhusu bandari ni chuki ya Chadema kwa Zanzibar
Chadema chama kwani Cha siasa Cha kukiamini?
Nilimsikiliza lissu juzi huko space, nilichefukwa. Mtu mwenye hadhi Kama ile hajui kutumia lugha nzuri.
Kama wapo vile wasahau kutawala Tanzania
nimetafakari kwa mda, kikao kinaendelea kuzungumzia issues za kisiasa nchini.
bwana zitto alimuombea msamaha mtuhumiwa Mbowe mwenyekiti wa chama cha chadema, jambo ambalo lilizua taharuki hasa kwa viongozi wa chadema akiwemo bwana lema na bwana lissu.
jee kweli zitto mgonjwa au kakwepa...
Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo.
Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria
mama anashusha nondo
Kwani mbowe Ana mda gani tangu atuhumiwe na kuwekwa ndani ?
Wale walikaa miaka karibu Nane. Bila ya ushahidi was kuthibitisha ugaidi wao
Mbowe mashahidi wanaenda na kutoa ushahidi kua anahusika na ugaidi. Kama kweli tunataka katiba mpya tuanze kuifata na kuiheshimu iliopo. Mbowe aendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.