Search results

  1. I

    James Ole Milya anafaa kugombea ubunge Arusha mjini

    Nadhani humtakii mema huyu mheshimiwa...
  2. I

    Sabodo: Upinzani Hauna 'Presidential Material' wa Kushika Madarakia ya Urais wa JMT

    Unamwelewa tu akishawapa CDM mamilioni!
  3. I

    Mwasisi wa CHASO, Deogratius Kisandu ajiunga na CCM

    Mwasisi wa CHASO ni Juliana Shonza na Emmanuel Mwakajila
  4. I

    Maamuzi ya Mahakama kuhusu Bunge la Katiba

    Sasa kwa nini mlipeleka hii kesi?
  5. I

    Mwigulu kukusanya Tirioni moja kodi ya serikali kwa mwezi

    Siku hizi mwigulu anakusanya kodi?
  6. I

    CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

    Kwa yale mazingaombwe ya uchaguzi? Wagombea wire wanaenguliwa anabaki mmoja ndio kukomaa huko? Hongereni zenu.
  7. I

    CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

    Kwa speech ile ya Mbowe?
  8. I

    Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Si ndio maana tunataka ccm iondoke, mnataka kufanana nayo tena?!
  9. I

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Maskini, mmebaki na majungu tu hoja hakuna. Watu wanadiscuss hoja, wewe unatumbukiza fitina. Ghafla CDM imebadilika kuwa jumba la wajinga. Poleni sana!
  10. I

    ACT kufanya mkutano Ndago Iramba,ili kuhujumu CHADEMA

    Ehee hee, ndiyo mnafanyaga hivi? Endeleeni kufichua mambo.
  11. I

    Wazee wa Kigoma waliomchukulia fomu Mbowe wawasili Dar

    Mazingaombwe ya kizamani sana haya!
  12. I

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Wivu, tena wa paka!
  13. I

    ACT-Tanzania na tunu ya demokrasia rasiliamali

    Hansen: Pole. Hawa wenzako wamezoeshwa kujadili matukio na watu. Ukilete hoja na sera lazima uambulie matusi. Polepole wataelewa lakini.
  14. I

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Ni wazi kuwa wewe una wivu hadi unatia huruma. Na kila jambo unaliangalia kisiasa kisiasa. Hapa taaluma.
  15. I

    CHADEMA Arusha kutangaza safu ya uongozi mpya na kuanza program ya delete, futa kabisa CCM Arusha

    Mnatamani mngekuwa madarakani mfute wa vyama vingi mbaki peke yenu? Mnatamani kuirudisha nchi katika mfumo wa chama kimoja!!
  16. I

    Mbowe achukuliwa fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA na wazee wa Kigoma

    Kwa hiyo mnajilinganisha na ccm?
  17. I

    Matumaini Ya Kuiondoa CCM 2015 yanazidi Kupotea

    Sababu za kuitoa zinaweza kujaa dunia nzima hii. Labda useme wa kumtoa.
  18. I

    ACT-Tanzania yatua rasmi Mbeya Mjini

    Nadhani chadema inaweza ikawa chama hatari sana kwa demokrasia ya nchi hii. Kwa hiyo hamtaki vyama vingine isipokuwa chadema, mtaweza? Kumbuka mbeya ndiyo inaongoza kwa utitiri wa madhebu ya dini. Mbeya is naturally pluralistic!
Back
Top Bottom