Search results

  1. Van Dickson

    Tangazo toka Loan Board (HESLB)

    tapata wapi majina ya wanaotakiwa kurudia ku apply,please naomba link yoyote
  2. Van Dickson

    Propaganda za CCM ndani ya ch 10

    Nchimbi hewa tu..
  3. Van Dickson

    kwa nia njema naomba kuwasiliana na dada yeyote alechaguliwa ardh university

    chuoni utasoma kweli wewe???,yani hata aujafika chuo umeanza kufikiri wadada JIPANGE UTAPOTEA
  4. Van Dickson

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    ''sikio la kufa alisikii dawa''..mambo mangap yamesemwa lakin wanaendelea kulindana...hili CHAGUO LA MUNGU litakuwa na wakati mgumu kweli 2015 KUCHAGULIWA tena
  5. Van Dickson

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    sijui sheria gan!!!,na kwa kisingizio cha sms ya slaa kwa igp inamaana dr.slaa ndo anaongoza jeshi la polisi hadi ikawafanya wauwe???!!!
  6. Van Dickson

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    ujumbe aliodaiwa kuandika dr.slaa kwa IGP.aliandika sababu alijua yote yangetokea hata asingeandika,kwan mauaji ya ARUSHA,MWANZA na kwingine yalisababishwa na ujumbe wa dr.slaa???..ni wakati wa jeshi la polisi kukubali limekuwa likitumia nguvu sana kwa raia na iyo inachangia wananchi kuzidi...
  7. Van Dickson

    Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

    mwana hii post nimeandika kama utani vile nione watu wata comment aje,duuuuh kwel raia ukiwachokoza ni noumah
  8. Van Dickson

    Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

    mwana hii ishu niliandika kama utani nione raia mtaichukuliaje,..lakin duuuh watu mmefanya ishu serious kinoma
  9. Van Dickson

    Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

    mtu wangu niliandika kama utani lakini watu mmefanya serious kinoma,nilitaka kucheki people wata comment vip
  10. Van Dickson

    Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

    mwana iyo ishu niliandika nione watu wata comment aje...i was not hat serious ipotezee basi,,duuuuuh sikutegemea watu wataichukulia namna hii
Back
Top Bottom