Search results

  1. R

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Hatimaye jambazi sugu mbaroni
  2. R

    Waandishi wa Habari wampuuza Juma Nkamia

    Enviroments shaped Ngamia mchumia mtumbo.Amesahau alikotoka ambako atarudi tena 2015.Kwani na yeye kilichomtoa nini?
  3. R

    Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Kama hatuwezi kumpeleka raisi na kurudi salama basi hakuna haja ya kutuniana misuli na hawa watu.Au jeshi letu pamoja na intelgence unity na kikosi maalum cha ulinzi wa Rais vinauwezo wa kupamban na watu wa Mtwara tu.Woga ni umaskini sis ni Taifa linalojimudu kiulinzi ndio maana tupo...
  4. R

    Presidents Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) have not confirmed TO ATTEND KAMPALA

    Rais wangu nakupenda na kuamini ila kama unaongoza Jeshi ambalo haliwezi kukulinda basi bora utuambie ili tujue hawajakudhuru kwa kuwa hawajaamua.Kama vyombo vyetu vinauwezo wa kukulinda tafadhali nenda
  5. R

    Naibu Spika wa Bunge

    Kwa uwezo wake labda awe mweka hazina wa kikundi cha kwaya
  6. R

    Juma Nkamia ni mnafiki

    Heee! kumbe Ngamia ni mbunge
  7. R

    Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo...

    Kwa maana ya heshima ya mamlaka inakuwa siyo nzuri vinginevyo poa tu
  8. R

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mtu wenye matunda ndio unaotipiwa mawe
  9. R

    Sijui tumwiteje? viongozi wa dini na siasa wapi na wapi?

    Kweli dini,siasa vimekuwa kazi za wapiga dili
  10. R

    Sijui tumwiteje? viongozi wa dini na siasa wapi na wapi?

    Mheshimiwa,Doctor,Mchungaji Getrudi Lwakatare mhh!
  11. R

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Aliwapataje hao jamaa au walitangaziwa vijiweni maana hawa jamaa kwa viwembe na bisibisi ni noma.Kutembelea waathirika wa mabomu Arusha lini?
  12. R

    Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

    Mleta mada kuna ujumbe alitaka kutupa ila tatizo kaongozwa zaidi na hisia.Bosi alisema wahamiaji haramu.Na wasipoondoka mpaka tarehe hiyo nasema wapigwe tu.
  13. R

    Mbunge wa Ileje achafua hali ya hewa

    Mhh! mpaka mtoane firigisi mwenzako akimwaga dagaa wewe mwaga samaki
  14. R

    Traffic Police kanitoza fine kwa kwenda 52km/hr kwenye eneo la 50km/hr!!!

    Nimefurahi member hapa mmebalance mambo maana hata ungeendesha speed 50.5 kwa maelekezo ya hapo ni makosa.Ukitaka kupata haki ni lazima ujali na haki za wengine
  15. R

    Askari polisi WP Neema agongwa na roli na kupasuka kichwa

    Humu inaelekea kuna Paka pori yaani mtu anasema hana huzuni na kifo cha mwenzetu! Acha mambo mengine yote jali ubinadamu wetu kwanza nimeshtushwa sana na kauli hii watu hawa nawaweka kwenye kundi la paka pori.
  16. R

    Nini tofati za kimalengo na wahusika wa maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane

    Naomba kuelimishwa nini malengo ya maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane? Ni wahusika wa nyanja gani wanapaswa kuwepo kwenye Saba Saba na Nane Nane.Nimekuwa nikiona walioshiriki Saba Saba ndio hao hao nawaona Nane Nane.
  17. R

    Commander in Chief of M23

    Anajisifu uchumi unakuwa kumbe anapora na kwa wengine inaelekea ameanza kuichafua DRC muda mrefu
  18. R

    Commander in Chief of M23

    Four diserters including Rwandan army described President Paul Kagame as the Commander in Chief of M23 (BBC news)
Back
Top Bottom