Una laana ya mama yako wewe mpumbavu; NANI KAMA MAMA??...Japo sikufahamu wala hunifahamu; ila i can say with confidence; you have a boring and lonely life;
nimepita mlimani...i can assure you..kupanga is the only way ambayo inakufanya akili kukomaa na kupanua ubongo wako na ile mentality ya utegemezi wa boom hupungua...though nashauri kwa mwaka wa kwanza ni vizuri ukakaa hostel na wenzio...kuna mafunzo makubwa pia katika kukichanganya...ukifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.