Search results

  1. M

    Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu: Gesi ya Mtwara - Pinda afanya Live Briefing Bungeni!

    hili si la wanamtwara ni la watanzania wote kwani deni ni la taifa, sikia majibu yao kuwa vyama vimechochea utajua wana kazi ya kutugawa ili mambo yao yaende,
  2. M

    Pongezi WanaMtwara! Pongezi Serikali ya CCM!

    haya majitu nadhani baba yao fitina na mama yao majungu, lakini hamna nafasi tena kwa ccm kuaminiwa, kifupi hawafai, angalia ahadi zilizotolewa mtwara kwa siku moja tu utajua shetani ana kadi ya ccm
  3. M

    Abdulrahman Kinana Na Artumas

    Kuna watu wanasema ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi halafu raia wapumbavu wanashangilia,
  4. M

    Serikali kutumia nguvu ikibidi suala la gesi Mtwara

    tusubiri tuone jeuri na maringo yao, naomba wajiulize yu wapi gadafi leo?
  5. M

    Serikali kutumia nguvu ikibidi suala la gesi Mtwara

    Kuna mtu aliandika habari hapa jf akatabiri kikwete hatomaliza kipindi chake cha 2 sikuwahi kuamini, lakini kama watatumia nguvu nina hakika kikwete hatomaliza kipindi hiki cha pili na kama atamaliza basi lazima ataungana na charles wa liberia jela
  6. M

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    Mkataba huu wengi hawajauona wewe unaejua tuwekee hapa haraka ili tupime upotoshaji wa zito, kama hujaleta tutajua yote ulioandika hapa umetumwa na mafisadi baada ya kuwasingizia wamechochea watu na sasa mnasema wanapotosha, kesho mtasema wamewanunua watu wa mtwara, waambie waliokutuma warudi...
  7. M

    Helikopta yenye maneno 'POLISI' yatumika kutorosha meno ya tembo toka pori la hifadhi Kizigo-Muhesi

    Ndio polisi jamii hiyo, raia wanatakiwa washirikiane na majambazi yenye sare (polisi)
  8. M

    Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

    Siamini barua hii kama imeandikwa na mwampamba, na kama niyeye anadhihirisha ana kazi maalum ya kubomoa chama la sivyo atakuwa kichaa kama sio mwehu
  9. M

    Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    kabla ya kuwa waziri alikuwa anaishi wapi? na kwanini aliamia hotelini?
  10. M

    Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Sasa selikari badala ya kupeleka watu mtwara wanapeleka koti (pinda) tena anaongozana na shati na fulana (waziri wa mambo ya ndani na afisa wa polisi) watu wa huko hawataki kufanywa dodoki labda musitishe tu hiyo mipango yenu zaidi ya hapo mnaenda kuongeza vifo na hasira
  11. M

    Walichofanya juu ya Mkapa vijana wenye hasira Masasi ni ujumbe mzito kwa Kikwete

    rudi shule ukasome kwani waonekana ni kichwa butu, pamoja na maelezo mazuri ya wana mtwara bado hujaelewa madai yao? Au ni kijibwa cha vibaraka wewe
  12. M

    Suluhisho gesi ya Mtwara hili hapa... Mradi lazima usitishwe!

    watanufaika na unafiki wako
  13. M

    ''CCM imekufa na sasa inajizika yenyewe''

    Fitina, uongo na vitisho ndio sera ya ccm, zaidi ya hapo ni mbinu za kuua vyama pinzani wakati awaangalii sababu zinazowafanya ccm iwe ICU.
  14. M

    Mtaa wa Nyerere kutinga Palestina

    kweli ndugu ya hata majina yako unayotumia ni ya kiingereza arsenalised one mfumo kristo ndio huo au?
  15. M

    Kama CHADEMA ikifa,ni chama gani mbadala? NCCR? mbona ndio haohao wachaga jamanii!

    Kama chadema ni chama cha wachaga basi ccm imeshindwa kazi haifai hata kupewa dhamana ya s/mitaa na wanaoshabikia ccm watakuwa hawana ubongo bali kamasi kichwani
  16. M

    Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    ni vema kusema hisia zako kuliko kuwaacha wakoloni wa ndani wakifanya vitu kwa faida yao binafsi
  17. M

    Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    nibora wanainchi waonekane wana ajenda nyingine kuliko gesi ghafi isafirishwe, hizi ela za mkopo na nchi ndio italipa, acha kuona hili ni la wana mtwara hili ni la watanzania wote, mkapa ni fisadi sawa na mafisadi wengine anaowaunga mkono, inchi ni ya wanainchi kwanini waliokuwa na dhamana...
  18. M

    Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    hamna kukaa meza moja wanachotaka kusikia wana mtwara ni mtambo ujengwe mtwara kisha wasambaze gesi kuanzia mtwara, sehemu zote mradi unakopita mpaka ulipokusudiwa kwisha habari. Hawatasikiliza kitu chochote tofauti.
  19. M

    JK awalaani waislamu wa MALI wenye itikadi kali

    mbona hata bush ana marafiki waisilam? Na marekani ina uhusiano mzuri na nchi za kiisilam, naamini hata wewe una marafiki wazuri tu wakiislam? Sema kitu kimoja ueleweke kuwa shetani kawateka baadhi ya waisilam na ndio hao wanaoiyumbisha dunia kwa sasa
  20. M

    Maskini watanzania; Uchumi unakua,maisha yanaporomoka,sasa mashindano ya AFCON hawayaoni

    Vat 18% tunachangia mishahara yao na haitoshi, wanatumia dhamana waliokuwanayo kukopa wajazie mishahara wajazie posho zao, rejea bajeti yao 2012-13 utaona wanataraji kukusanya t 8 na mishahara na posho zao ni t 10.5 , utaona watanzania si m 45 bali ni watu fulani ambao hawazidi m 1
Back
Top Bottom