Ndugu zangu, Nissan xtrail yangu imeleta shida. Taa za breki hazizimi na ktk kukagua nikakuta kwenye brake pedal kuna ki-rubber kimesagika hivi na vipande vimedondoka. Fundi kasema kuwa kuna ki-rubber au kiplastiki chini ya pedal ndo kinahusika Replacement yake mpaka kupata kingine au kuchongea...
Asante. Samahani. Swali langu ni je hapo airport utaruhusiwa kupita? Kuna nchi ambazo unaweza kupotezea kuprocess visa kabla kwa maana unaweza kwenda ukapata visa on arrival. Sasa kwa hapo inakuwaje? Uhamiaji wataniruhusu na pasi yangu inayoisha 2021?
Wakuu, naomba kuuliza. Kuna taarifa kuwa ili kusafiri nje ya nchi kuanzia July mosi ni lazima kutumia Pasi mpya. Kwa upande mwingine kuna taarifa kuwa mwisho wa kutumia pasi za zamani ni Januari 2020. Naomba waliosafiri kati ya Julai mosi watupe uzoefu kuhusu hili. Asanteni
Kariakoo ni shida kwa kweli. Sijui hata wale wenye maduka rasmi kama wanafanya biashara vizuri. Kwa kuwa Rais ni taasisi na ana macho/masikio mengi, ngoja tuwe na subira. Maoni yetu yatamfikia one day.
Pointi ya maana sana hii. Kelele nyiiiiingi ni kama vile kuna utaratibu uliokuwepo awali uliokuwa ukiruhusu 'wazazi' kurudi darasani katika mfumo rasmi. Mjadala unaotoshwa. Congrats ndugu mchangiaji
Kiongozi wa Kanisa lolote ni image ya wanaKanisa anaowaongoza. I can imagine what kind of faithfuls wanaongozwa na Bishop G. You see, dini zitusaidie kuleta amani na kusameheana. Right now, watu wanadhani the Bishop is winning; but I am afraid kwamba hatujui what the other side will or is...
Naona watu bado hawajaelewa sheria ya makosa ya Mtandao inavyofanya kazi. Inakuwaje mtu mzima na akili yako uanzishe uzushi kama huo? Kwa faida gani hasa? Ni ajabu kabisa1
Politics aside, why would Makonda's education background be of interest now? Mimi nafikiri histroria ya elimu yake si muhimu. Kwamba ameaminiwa na Rais inatosha kwani hicho ndiyo kigezo muhimu kabisa. Ikiwa haturidhiki na utendaji wake wa kazi, tumsaidie kwa kutoa ushauri ambao ni constructive...
Ametumia haki yake ya kidemokrasia kufanya maamuzi. Swali linabaki je ni wakati muafaka? Why now? Yapasa mashabiki wake wapewe maelezo juu ya swali hili. Haiwezi kuwa coincidence tu!
Hili suala la mikopo sijui litakuja kutengamaa lini. Watu wakae chini watengeneze kanuni na formula ambazo hazitaleta malalamiko, after all, huu ni mkopo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.