Search results

  1. M

    Ajira tra, ewura.....

    Una m2 wa kukushika mkono wee mtoto wa mkulima? Kama huna sahau habari ya ajira za TRA, EWURA na BOT!!!! Endelea na na jidhatiti kwenye :target:biashara zako ili uongeze mtaji utakaosaidia kuwakomboa watoto wako na familia yako!!!
  2. M

    msaada plz.yuko wapi suzan mong

    Unamjua afisa habari wa Tume ya mawasiliano? Anaitwa Bw Innocent Mungy, tafuta contact zake kwa kuwa yeye ndie atakayekupa habari sahihi yaq huyu mama, Suzan!!!! Wengine ni wazushi tu watakusumbuoa kaka!!!
  3. M

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Acha majungu!!! Mbona Chukuwa Chako mapema wao wana Mganga wa kienyeji Bungeni!!!Hebu nikuulize, nchi hii sifa ya kielimu ya kuwa Mbunge ni ipi? Digrii au Elimu ya Msingi? Yaelekea hujui usemalo waola ujualo kwa kuwa watu waliotuongoza vizuri sana na kwa uadilifu wa hali ya juu miaka iliyopita...
  4. M

    Umoja wa maendeleo wa kata

    Umoja wa Maendeleo Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni kuwa sijui taratibu za kuzifuata ili kuanzisha huo Umoja wa Maendeleo ya...
  5. M

    Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

    Amewatambuaje hao watekaji wenzie, alipelekwa Znz au? Ebu naomba fahamishwa, Dr ulimboka yu wapi na anaendeleaje kiafya!!
  6. M

    Umoja wa Maendeleo

    Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni kuwa sijui taratibu za kuzifuata ili kuanzisha huo Umoja wa Maendeleo ya Kata. Naomba kwa yoyote...
Back
Top Bottom