Search results

  1. A

    Dc wa korogwe asweka watendaji wa halmashauri ya wilaya ya korogwe polisi. Je ni haki?

    Kwa kweli inasikitisha sana kwa utendaji wa aina hii wa viongozi wa Serikali! Unavunja nguvu watumishi na hivyo kuzorotesha utendaji. Mnamo juzi 5 julai 2012 kama sikosei ni siku ya alhamisi DC wa Korogwe (Mrisho Gambo) alimsweka ndani mhandisi wa maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe eti...
  2. A

    Jamani naomba niwe mmoja wenu!

    Habari wapendwa wote. Ni furaha kubwa niliyonayo kuweza kujiunga na jf ili kusogeza gurudumu la maendeleo mbele.Kwaheshma na taadhima jamani naomba niwe mmoja wenu! Asanteni.
Back
Top Bottom