Search results

  1. D

    Barua ya Wazi Kwa Askofu Kakobe. Wafalme Hawakosolewi

    Ipo hekima ya kumwambia uko uchi maana vinginevyo utapotea kwa kauli yake tu!
  2. D

    Barua ya Wazi Kwa Askofu Kakobe. Wafalme Hawakosolewi

    Asante sana! Lakini wewe ni dhahiri hatuelewani!
  3. D

    Barua ya Wazi Kwa Askofu Kakobe. Wafalme Hawakosolewi

    Ni dhahiri kwamba utaratibu wa kumpata mfalme Daudi haufanani na utaratibu wa wafalme wetu wa sasa (Tunawaita marais lakini ni wafalme tu) Ndio maana tumeshuhudia mfalme wetu akimtoa babu Seya na mwanaye gerezani maana kauli yake ni ya kifalme na ni sheria!!!! Sina maana wafalme hawakosei lakini...
  4. D

    Barua ya Wazi Kwa Askofu Kakobe. Wafalme Hawakosolewi

    Wafalme Hawakosolewi!!!! Hakuna mfalme anayeweza kufanikiwa kutawala watu wa Mungu ikiwa yeye hana Mungu. Nikitumia Biblia kama kitabu cha rejea, watawala wengi sana wametajwa kushindwa au kuangamia kwa sababu hawakudumu katika maagizo ya Mungu. Sauli alikuwa ni mfalme wa kwanza katika taifa...
  5. D

    Web Hosting For Tshs.20,000/= Per Month

    Asante sana Koh Koh, kiwango hicho ni kwa mwezi mzima na ukitaka hosting ya mwaka mzima unazidisha mara 12. Unaponunua hosting ya mwaka mzima utapata discount nzuri kabisa na utaokoa zaidi pesa yako huku ukiitangaza biashara yako dunia nzima. Pia kama huna website tutakutengenezea bure kabisa...
  6. D

    Web Hosting For Tshs.20,000/= Per Month

    Kuwa na website yako kwa ajili ya biashara, taasisi au wasifu wako kwa sasa ni rahisi zaidi. Kwa 20k pesa ya Kitanzania unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima. Hakuna gharama za ziada wala zilizofichika. Utapata huduma zifuatazo: One Domain name bure Utapata Control Panel yako ya CPanel...
  7. D

    Usanifu Kwa Buku Tano Tu

    Je, unahitaji kusanifiwa nembo, vocha, makava ya vitabu, business cards, business documents na vingine vingi? Tembelea kwenye tovuti yetu ili uchague utakacho kwa buku tano tu: www.bukutano.com
  8. D

    JK ameuliza: Nani asiyejua kuwa watoto wanafeli, maji Kimara hakuna, reli hakuna?

    Kuna mambo yanatokea Tanzania tu, hayatokei sehemu nyingine yoyote duniani! Ni kweli Tanzania ni ya kipekee
  9. D

    Hello wanajamii!

    I think I am in!
Back
Top Bottom