Search results

  1. R

    simpendi:ananing'ang'ania,nifa nyeje?

    Ndugu yangu huyo dada kuna mahali pengine alikuwa anategemea ndio maana alikuwa anakufanyia vituko,sasa huko nako amegonga mwamba ndio maana anataka kurudi kwako kwa speed kubwa,shikilia msimamo wako akipiga usipokee wala usijibu mesage zake,akibadilisha simu ukigundua niyeye mkatie,akikusumbua...
  2. R

    Kuna wakati nachukia MIJANADUME

    Wanaume wengine wanapepo wa ngono,sasa hicho kitoto kidogo kama bint yake anawezaje kukivulia nguo,kweli watu wengine ni mapepo.
  3. R

    Msaada please

    Unaweza kuielezea weakness ikawa strength mfano unaweza kusema udhaifu wangu ni kutopenda kuona nashundwa kufikia malengo yangu ya kazi niliojiwekea kwa siku,na maneno mengine ambayo yanakuwa ni strength lakini unaifanya kama weakness,nenda kwenye google utafute common interview questions...
  4. R

    Naomba ushauli jamani.

    Ukweli ni kwamba hiyo kazi haitakuongezea CV yako maana haiendani na ulichosomea ila jitupe huko wakati unatafuti kazi iliyoko kwenye field yako.
  5. R

    Sijui nimenusurika!!!!

    Hawajagunduab hao,wangekutimua mapema inaonekana kimetoka kweli wizarani ila si vizuri kuanika siri kama hiyo hapa kuwa makini.
Back
Top Bottom