Search results

  1. S

    Chanel Ten sa mbili unusu leo LHRC, Na mkurugezi wa SSRA kuhusu Mifuko ya kijamii

    Miye nashangaa sana hawa wabunge wanapitisha sheria ambazo wao haziwahusu wao wakimaliza muda wao wanalipwa chao hawasubili mpaka miaka 55 kwanini sisi ndiyo watupitishie sheria kandamizi kwanini?
  2. S

    Chanel Ten sa mbili unusu leo LHRC, Na mkurugezi wa SSRA kuhusu Mifuko ya kijamii

    Wafanyakazi wote tuwe kitu kimoja katika hili nasi huku geita tumeamua kuwa jumamosi tutakuwa na maandamano ya kuipinga hii sheria kandamizi kwa wafanyakazi.Sisi huku tumewapa muda mpaka jumatatu wawe wameiondoa hiyo sheria kandamizi hivyo tuungane pamoja kuipinga na hata ikiwezekana kugomea...
  3. S

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Wafanyakazi tulioko migodini hasa GGM tumepatwa na ugonjwa wa NSSF Syndrome baada ya kuambiwa kwamba kuna utaratibu unakuja ambao mtu hataweze kuchukua mafao yake mpaka afikie umri wa kusitahafu.Jamani wanajamiii wenzangu mtusaidie michango yenu ya mawazo
  4. S

    Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

    Ni kweli masuala ya udini hayana nafasi siye tunachoitaji ni utendaji wa mtu na si dini yake ebu nikuulize wewe mheshimiwa unaye endekeza mambo ya ubaguzi wa kidini hivi unafaidika na mimi?
Back
Top Bottom