Search results

  1. N

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Sorry kwa kutoleta feedback. yeah waliona hawa watu, ndoa yao ina mwaka na wana mtoto tayari, so far wako poa ingawa wao ndio wanajua ndani kwao kukoja, lakini from a curious eye, wako vizuri. Shukrani kwa wale walitoa mawazo yao
  2. N

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Nashukuruni sana kwa michango yenu ndugu zangu. Naziona challenges zilizopo katika hili
  3. N

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Pole sana ndugu yangu kama ni kweli unadhani hakuna na hakuna kabisa. tena yeye sio 32 PHD aliipata mwaka jana akiwa na 31. Endelea kuamini hakuna sina msaada kwako
  4. N

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua. Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD. Amekutana na mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama miaka mitatu. Wanapendana na mwanaume amepropose...
  5. N

    C.c.m musoma vijijin 2015 haitapata kitu

    heko kwao maana vijijini wanatuangusha sana
  6. N

    Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

    kila mtu ana uelewa na uwezo taofauti, kwani hata huko o na A level sio wote ni wamezaji, waelewa wapo pia
  7. N

    Hodi hodi jamani

    habari zenu wanajamii, naomba kukaribishwa hadi ndani.
Back
Top Bottom