Search results

  1. L

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    Kaka umenena! Wanaotaka Uli aongee wengi wao ni wanafiki na Watu wenye nia mbaya, tumezoea krona mtu anafanya hayo wanayoyapenda wao, daktari atulie ajipange sababu vita yake ni kubwa sana na yeye pekee ndo anaoweza......tusianze kumpa mbinu za kumpoteza.... I HAVE FAITH IN ULIMBOKA AND WHAT HE...
  2. L

    Dr. Ulimboka azimwa

    Hawaii = hawajui
  3. L

    Dr. Ulimboka azimwa

    Someone or some people have a target of spreading wrong information for their own benefit, this is one of the information. By the way I know Dr Ulimboka cannot be bought or lured by anything... Wanachofanya ni kuchokonoa ili jamaa aongee na Tetesi ni kuwa jamaa anajipanga... People should learn...
  4. L

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    "Mimi mzima na niko tayari kwa lolote, ahsanteni wanafamilia, madaktari na watanzania wote" Kauli ya Dr. Ulimboka akibubujikwa na machozi... Wadau, karibuni Kwenye season infinity ya mgomo aw madaktari.
  5. L

    Kufungiwa Mwanahalisi: Kwa msimamo huu hawa tuwaeleweje pamoja na kujifanya wasomi?

    Sorry for typing error. Kuinyesha=kuonyesha maini=maoni
  6. L

    Kufungiwa Mwanahalisi: Kwa msimamo huu hawa tuwaeleweje pamoja na kujifanya wasomi?

    Mhe. Rais wa TAJA ulipewa ahadi gani baada ya kuandika taarifa hii!? Wengi wameshangaa elimu yako ila mi ninashangaa uwezo wako wa fikra na kupambanua. ni haki yako kuhoji utendaji wa mahakama lakini kuidharau unakosea Mhe. suala la kujiita msomi na kudharau uwezo wa watu kisa CV naomba tuanze...
  7. L

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    kinachotokea tanzania leo, napata picha ya tunakoelekea. Naliona jeshi la ukombozi ambalo nyinyiem mtaliita waasi likiongezeka, madaktaqi sina shaka wamejaa na walimu wanakuja..naomba ulimboka akija awe amiri jeshi mkuu, watu waingie msituni.
  8. L

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    kinachotokea tanzania leo, napata picha ya tunakoelekea. Naliona jeshi la ukombozi ambalo nyinyiem mtaliita waasi likiongezeka, madaktaqi sina shaka wamejaa na walimu wanakuja..naomba ulimboka akija awe amiri jeshi mkuu, watu waingie msituni.
  9. L

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    nimeambiwa kuna nchi moja ya jirani imesema ingependa hata kuwachukua wote, watanzania ambao kazi yao ni kushangilia jinsi serikali yao inavyovurunda wamekaa kimya...wanadhani wanawakomesha madaktari, uhalisia kwa mikoa ya dar es salaam na pwani uwiano wa daktari na wagonjwa ndiyo 1:30,000...
  10. L

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    lazima kuna uwezo wa ku'tolerate just to induce hypnosis atapike kila kitu! Ma'dkt kazi kwenu..!
  11. L

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    It is a government body, working under the ministry of health.. the chairperson of the council is the chief medical officer who is the presidential appointee. Na miongoni ya maorodhesho yaliyotolewa na madaktari na kuchukuliwa na kamati ya bunge ni kuhusu ku'review structure na function ya...
  12. L

    Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

    Majibu hayo si ya kiutawala bali ni ya kibabe, hasa hasa pale ambapo sehemu kubwa ya hotuba aliyoitoa ilipokuwa inapotosha umma, kuingilia uhuru wa mahakama na hata tume ya uchunguzi wa hali ya Dk. Ulimboka. Hii siyo nafasi tu kwa ajili ya madaktari au viongozi wa dini kuwa na fursa ya kusaidia...
  13. L

    Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

    TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM. (Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu wa taasisi za haki za binadamu...) 1. TUNAIOMBA SERIKALI IFUTE KESI ILIYOKO MAHAKAMANI 2...
Back
Top Bottom