Search results

  1. U

    PICHA: Tukio la watu kunasana wakizini

    nani anajua undani wa hiyo kitu? kweli mke wa mtu ni GUNDI siyo sumu tena
  2. U

    Mnyika kinara bungeni

    ili kufanikiwa lazima uwe umeanzia mahali fulani. kama kafanya vizuri bungeni ni jambo zuri kwani tulimpeleka awatuwakilishe huko mjengoni. huko kafanikiwa bila shaka hata mambo ya kilungule yatafanikiwa, ila tusitake yote yafanikiwe kwa wakati mmoja , haiwezekani kijani. MBONA CCM WENYE MIAKA...
  3. U

    Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

    naamini habari hizo zitakuwa za kweli, mbona Mwakyembe alilalamika hivohivo mkanyamaza hadi yakamkuta masaibu yaliyo mkuta...na hili mnataka yatokee msingizie majambazi?
  4. U

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    vitisho hivi siyo vya kupuuza. naamini vinaukweli... mtu siyo mwendawazimu asimame aseme usalama wake upo hatarini. na hao waliotuhumiwa kawa siyo kweli basi wapeleke swala hili mahakani kama zilivyo kesi nyingine mahakamani. ikumbukwe huko nyuma kuna viongozi waliwahi kusema wanatafutwa...
  5. U

    Sina imani tena na Chadema

    yamekuwa hayo tena, kwani umewahi kutueleza kuwa una-imani na CHADEMA?
  6. U

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    hebu nisaidieni, hili swala la baadhi ya viongozi hao kuwa wanatafutwa na vyombo vya dola wauawe au wateswe kama slaa alivyo nukuliwa je zinaweza kuwa na ukweli wowote?
  7. U

    Nasikia kuna degree za "chupi"

    degree za chupii? inamaana wanasemwa dada zetu kuwa vilaza wanategemea kutoa...ndo wafaulu. je hakuna wanaume wanaopata digriii hewa na hawa tutaita wanapata degree za aina gani? au nao hivohivo?
  8. U

    Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

    yes, one can think that way, but siamini kama bunge zima ni simba na yanga. wanaweza kuwepo mashabiki wa azm, mtibwa...., kwa mazingira ya tanzania ya sasa, ni vigumu kuwatenganisha watanzania na u-simba na u-yanga.
  9. U

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    pole kama umekuwa adicted. wazo lako la kuacha pombe ni jema. mimi nilikuwa nakunywa pia, niliacha miaka zaidi ya kumi imepita sasa. uwe na uamuzi wako mwenyewe, usitegemee kushawishiwa na mtu, jiwekee mikakati ya kuacha kunywa, kwa mfano unaweza kujipangia usiguse pombe wiki nzima, ukifaninikwa...
Back
Top Bottom