Search results

  1. M

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Never look forward for something yu yourself don't have. If I come to yu and borrow 10 shillings it is because I know that jus recently I had itbut have used it and get another soon. Virginity is not for women alone, even we men need to keep it for my first woman to be my wife. Sometimes men...
  2. M

    Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

    Aandikishwe tu ila aingie darasa la 7 tu huyo. Mbona aweza kuwafukuzia form II ya leo?
  3. M

    #COVID19 Afariki baada ya kuwekewa mapafu yenye maambukizi ya covid-19

    Kwa hiyo wameua watu wawili tiyari. Aliyewauzia kafa na aliyenunua naye kafa?? Huyo aliyeuza alidhani angetembeaje bila mapafu hadi amalize pesa yake aliyoipata baada ya kuuza mapafu yake? Neno la Mungu linasema; Mmepewa bure nanyi toeni (Wapeni wengine) bure. Yeye alimlipa Mungu kiasi gani...
  4. M

    Amelala kwangu usiku mmoja tu, tayari ameanza kujisahaulisha chupi zake

    Hiyo kyupi ni zile aina ya "Use only once" yaaani disposable vyupis. Ndo maana kaiacha hapo uitpe kwani hukumuonye shatangi la taka mbovu
  5. M

    Kero kubwa kwenye tendo la ndoa

    Umesema mengi sana ya maana lakini ukasahau kuwa; Nikiwa na pesa mfukoni hata koni itanyonywa tena kwa kuombwa anyonye. Samahani kwa lugha hiyo ila huo ndo mpango mzima
  6. M

    Mortuary attendant inafundishwa wapi Tanzania?

    Una bahati kuwa umeificha ID yako. Weka sura yako hapomshana jr aione akungojee utakapo letwa kwenye 18 zake kma hataziondoa sehemu nyeti auze. Kuna watu wametajirikia kwenye hiyo kazi sana. Sasa ni hii shida ya kupumua ilivyozidi nadhani hata bei ya mizigo itapungua.Usiwatanie watu na kazi zao...
  7. M

    Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

    Pole sana ila nenda kamzike babako mzazi tu wengine waachie wengine
  8. M

    Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Hawa ndio wanatunyima kununua mkoko wa kileo. Wanaikosesha serekali yetu kodi sana. Kama magari ni mengi na huwa yanakula mafuta sasa hapo wakiongeza kodi ya mafuta si wangepata zaidi??
  9. M

    Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

    Soma taratibu maelezo yangu. Kila silaha imetengenezwa kwa matumizi fulani japo mlengwa n imwanadaaaaaamu. Hivi wajua.Kifaru kazi yakeni kumuua askari mwenda kwamiguu? Infantry??? Hivi wajua piandege ya vita kazi yakeni kumuua huyo huyo infantry?? Nimekuambia kuna bastola zinazobebwa na...
  10. M

    Heeey Handsome

    Okaay Kasie, I came running like a dick dick eyes open and ears all to come and find; This is "fo kidos!!"! Put something fit for our "Rika" buanaa. Love is in the air Kasie
  11. M

    Tanzania, Afrika Kusini zawasilisha ombi maalum Umoja wa Afrika (AU)

    Mwambie huyo Ramaphosa kuwa, watu wake hao hawana shukrani kabisa kabisa. Leo wanawaona wa Tanzania kwao kama sumu na kuliko akuone Mtanzania kule kwao nafuu Mnigeria. Shukrani ya punda ni mateke.
  12. M

    Sijui nifanyaje mimi...

    Kwanza inaonesha hapo kuwa "Mlemavu" ni weye ndo maana unagopa kuwa mkeo akionjakwa huyo jamaa hatarudi nyumbani. Asikudanganye mtu, mwanamke hupenda anayemfikisha sio viba100 wengine hadi mfungiwe kwa khanga msije chomoka
  13. M

    Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Waambie TRA watuache tuyanunue waweke kodi zao kwenye mafuta tu uone jinsi ambavyo vitu vingeshuka hapa hadi barabar ziongezwe upana kupunguza foleni. Hao hao washamba wanataka kuleta hadi treni zinazotumia barabara ila wanaogopa TRA na kuambiwa ati "Wanaosha pesa" na "Kuzipiga pasi". Serekali...
  14. M

    Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Effects zipi ndugu tueleze. Kwanza kampuni zote hizo mlizozitaja kuwa zinatengeneza mbona za Kiislam??? Nembo ya "Hallal" imetumika vibaya hapo. Poleni mnao falakatia kila kiwekwacho mbele yenu.
  15. M

    Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

    Ushamba mwingine ni mzigo. Kwa kuwa kwako ni gharama sana na shida kuwa na kitu fulani haimaanishi kuwa nacho ni ukichaa. Kule kwao unaenda dukani kununua aina ya bunduki unayo itaka. Kama ni basola unakuwa nazo 4 kutokana na matumizi yake na uwezo wa kuibeba. Zipo ndogo tu za wanawake kubebea...
  16. M

    Unayependa kumiliki silaha angalia hili tukio kisha jiulize unaweza kuwa mvumilivu?

    Umewasikia hao wafu walivyokuwa wanamtukana? Tena hicho kimama kinamtukana na kumwambia awaue?? Sasa kama kapeleka maombi mwenyewe ulitaka jamaa amnyime? Jamaa hana hata wasiwasi amerudi home kwake awangoje polisi
  17. M

    Siku ya Kifo Changu

    Kama ulizaliwa kufa ni lazima. Una bahati kama bado babu yako yupo hai. Hujiulizi alienda wapi?? Jiandae kufa na andaa maziko yako usije tuletea taabu
  18. M

    Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

    Nashukuru mleta hoja umesema kumbe tangu korona iingie Tz sasa ni mwaka unaisha. Pia umesema kuwa wenzetu walichukua tahadhari mapema (mwaka sasa) lakini sisi hatukuchukua tahadhari zao za kujifungia (Lockdown). Swali ni Je, kama hatukujifungia sasa huu ni mwaka, kuna mtu amebaki tena Tz kweli...
  19. M

    Vunjo tumepata mbunge awamu hii

    Amekuahidia ngapi?? Mnapenda kweli kujaza sever. Hata mwezi bado tiyari ushaanzakampeni ya 2025!!!! Jamaniacheni ujingaaaa
  20. M

    Siku ya Kifo Changu

    Ndugu zangu wote na marafiki zangu wote wanajua kuwa siku ya kufa kwangu nizikwe kwa kutumia kitanda ninacholalia na mke wangu. Fedha ya jeneza mnunulieni kitanda kipya na godoro. Wekeni pilo ya pili kando yangu ili akifa mfungue kaburi mmlaze tu hapo kando mrudishie mfuniko. Kaburi natarajia...
Back
Top Bottom