Search results

  1. H

    Management by Crisis at Mzumbe University

    Someni hii mpya wajameni.
  2. H

    Suzuki escudo inauzwa bei poa

    Bado ipo kaka, tuwacliane najua itakuwa imepungua bei kidogo.. Serious...
  3. H

    Balali alishakufa hatukuambiwa?

    Slaa: Tume ichunguze kifo cha Daudi Ballali na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amependekeza kuundwa kwa tume huru ya kimataifa itakayochunguza mazingira ya kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali...
  4. H

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Labda tuanze mkakati wa kuwachoma moto hawa jamaa kama wa south wanavyowafanyia unyama ma black wenzao. Tuwatokomeze hawa jamaa waishilie mbali. Kuna haja ya kuunda Mungiki ya Bongo. Hali hii inakera saaana, na inatuumiza mno!
  5. H

    His Excellency the ’fisadi’

    "But I would pity the cops. The thing is the poor cops are confused. The guys were trained to save the rest of us civilians from crooks and the bad guys, thieves and other nasties in society. But it now turns out that the crooks are guys who were pretending to be our leaders. Now leaders (I...
  6. H

    Vigogo wanaotuhumiwa kumiliki Tangold wahojiwa TAKUKURU

    Tanzania... Tanzania... tanzania inateketea, mimi sioni mantiki ya kuunda kamati ambayo ni wakurugenzi wa kampuni moja tena inayojihusisha na madini. Kwanini kampuni iwe kamati kuwakilisha serikali? hebu ona huo uamuzi wa kuyalinda ulivyokuwa wa busara, sasa tunataka kila kona tupa expose kwa...
  7. H

    Balali alishakufa hatukuambiwa?

    Kwa uhakika kwa kutumia mantinki ya kikawaida tu, akili haikubali kwamba kwa mtu ambaye SERIKALI inamtuhumu kwa hujuma kubwa na nzito kama hizo, eti mpaka sasa wanapata hata nguvu za kutuambia hawajui alipo. Akili hata ile ya kawaida haikubaliani na ukweli kama huu. Nadhani labda kwa kujiuliza...
Back
Top Bottom