Search results

  1. Attache

    Mimi ni mpole na ni mtu wa kukubali yaishe, marafiki wengi wamenidhulumu!

    Pamoja na mengine una tatizo la kutaka kupendwa / kumridhisha kila mtu, jambo ambalo halipo hata siku moja! Ndiyo maana huwezi dai sababu unahisi "atanionaje". Pia unauoga wa kupoteza watu. Inawezekana ikawa ni issue ya kisaikolojia hasa kutokana na malezi au wazazi kutokua around mara nyingi au...
  2. Attache

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Hii perfume ni kama "Vintage le male" kwa bei isiyoumiza. Nilikua ninaitumia sana kipindi flani[emoji1417]
  3. Attache

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ultra male (Jean Paul Gaultier za kiume almost zote) huwa zina ka ring flani chini ya sprayer, halafu hii sprayer yake kama ina glow sana wakati usually huwa ni dark silver flani
  4. Attache

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ila mbona kama sio OG vile... No disrespect
  5. Attache

    Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

    Kwa lengo la watu kujifunza tafadhali share nasi juu ya shida ilikua nini na ulitumia njia gani kutatua? Ninafahamu muda mrefu umepita (almost 4years) but kama unawezapata kumbukumbu yake tafadhali share nasi mkuu ili kwa wale wanaopitia the same situation wapate kujifunza jambo.
  6. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    And yet you believe that all of that happened by chance?? All of those excellent arrangements and timing happened by chance? With no intelligent designer? Kwamba kulikua na eruption from nothingness (kama the big bang theory inavyosema) na sayari (including dunia) ni chembe chembe za hiyo...
  7. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    That is the result of his disobedience mwanzonzi kwa kula the fruit of knowledge of good and evil. He, therefore, lost his place. Haujiulizi kwa nini a human is a wanting being (Maslow hierarchy of needs)? Hata awe na nini he does not get satisfied. Intrinsically, but unknowingly, we are...
  8. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Sina hakika kama nimeelewa vizuri point yako mkuu. But what I can say is uliloelezea proves the point that, kama maandiko yasemavyo, binadamu tumeumbwa in the likeness of God, with intellect and free will. Ndio maana binadamu (katika point hiyo ya kula) anaweza amua kuwa pure vegetarian au vegan...
  9. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Kwanza niseme hongera for the initiatives za kutafuta ukweli, Kudos! Binafsi ninaamini kuwa si vema kuamini kitu dogmatically na kimapokeo kwa sababu tu fulani anaamini. We are a society that is blessed with abundance of sources of information, ironically, that blessing is also a curse due to...
  10. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Atafanya hivyo, ultimately. Swala ni je utakua upande gani? Majibu yapo na you can experience him personally. The thing is, we often choose to neither listen nor seek him. It is our iniquities, rather, that distances us from him (Isaya 59: 1-2).
  11. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Assumptions za wengi zinadisplay that you are thinking of the wrong god. Tatizo tunataka kum-fit Mungu katika mazingira ambayo tunayoishi sisi. Kwa mfano wengine wanauliza kama Dunia iliumbwa na Mungu, basi Mungu alitokea lini? Jambo la kwanza la kutambua ni kwamba Mungu wa biblia hadhuriwi na...
  12. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Fortunately I'm not religious and I don't believe in religion for religion is a work of man and it is, quite often than not, flawed. But "The Gospel" isn't. Don't confuse the two
  13. Attache

    Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

    Dah, bonge la message na reminder. Mungu akubariku sana.
  14. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Denying the truth doesn't change the facts. Biandamu tupo sababu Mungu yupo and not the other way round.
  15. Attache

    Kwanini Unaamini Mungu yupo?

    Actually ni kinyume kabisa. Ukiangalia creatures lazima utaona kuwa kuna creator. Sababu viumbe haviwezi kuwepo bila muumbaji. Leo hii ukitembea msituni ghafla ukaona picha imechorwa pahala, lazima utasema kuwa kuna mchoraji under no circumstance utasema kuwa hiyo picha imetokea tu under the...
  16. Attache

    Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    We jamaa kwa fiksi... Kwenye story uliyoandika april 27 ya kumpa lift shetani ulimalizia kwa kusema kuwa "Nampenda mke wangu" leo unabwabwaja kuwa huwezi kuoa[emoji23] [emoji23]
  17. Attache

    Kwa wapenzi wa comedy yupi mkali kati CHARLIE CHAPLIN na MR BEAN

    Kuna jamaa mmoja anaitwa Buster Keaton. Ni soo... Huyo ndio wa kumpambanisha na Charlie Chaplin coz wakati Chaplin ana hit uingereza jamaa alikua ana hit marekani miaka ya 1920's
  18. Attache

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ni body spray so performance-wise haita level up to actual colognes, ila ni decent performance for the price. Slightly better than axe and lynx body spays.
  19. Attache

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mkuu tafuta body sprays za smart. Wame mimic perfumes zenye majina makubwa na prices zake, last I checked, ni chini ya mwekundu.
Back
Top Bottom