Search results

  1. mwanasayansi

    Unakumbuka? - Miaka 10 Baadaye..

    Habari wandugu.... Pia katika kujikumbusha huko,tupitie mistari ya Ron Suskind(http://www.latimes.com/news/nationworld/nation/la-na-cia6-2008aug06,0,5481059.story), huenda ikasaidia hapo baadae kupata uhuru wa kutafakari,maana wahenga walisema "lisemwalo lipo........"
  2. mwanasayansi

    You Are As Old As Your Oldest Organ

    BIOLOGICAL THEORIES OF AGEING(AGING) Telomere Theory Telomeres (structures at the ends of chromosomes) have experimentally been shown to shorten with each successive cell division. Shortened telomeres activate a mechanism that prevents further cell multiplication. This may be an important...
  3. mwanasayansi

    Ubaguzi uliotia fora.

    Habari wakubwa Kwa muislam yoyote makini anayejua kuwa muweza wa kila kitu ni ALLAH mtukufu,na sisi binadamu twafanya juhudi tu ambazo hazifanikiwi mpaka ALLAH atake hawezi kuwa na hisia za woga kutokana na maneno ya Mukombosi na wenzake,sisi tushafahamishwa kwa maneno ya ALLAH kuwa chuki za...
  4. mwanasayansi

    OMAR LAMBI amefariki

    Waaleikum salaam yaa GT INNALILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUG'UN Jazaakallah kheir kwa taarifa ALLAH ajaalie kuwa ni ukumbusho wa kujiandaa na hiyo safari kwa tuliobaki,tuombe msamaha kwa ALLAH na kufuatiza mema.
  5. mwanasayansi

    Hawa Ndio Wawekezaji Wetu!

    habari mheshimiwa.... 1.kwanini amewekeza zanzibar na siyo bara?, nijuavyo mimi kiwanda cha textile cha Wapakistani kipo Dar es salaam kwa hiyo amewekeza Tanzania bara pia kama itakuwa ni sahihi kuwa kinamuhusu. Hapa najaribu kuonesha kwamba kama kuna uzembe umefanyika kumkaraibisha huyo...
  6. mwanasayansi

    Gadaffi: "Holly Bible is FAKE"!!

    MtindioWaUbongo, Kwenye mistari ya hoja huwa kunaibuka hoja pia,hapo nilikuwa najaribu kumuonesha Mukombosi kuwa hayo mashambulizi ya uhakika dhidi ya uislaam yameanza muda mrefu sana,na yanaendelea-ni kwamba yamepewa majina mazuri tu ili yaonekane si dhidi ya uislaam na waislaam....na huo...
  7. mwanasayansi

    Gadaffi: "Holly Bible is FAKE"!!

    mkuu mukombosi, kama kwenye hiyo statement ulikuwa wakusudia mashambulizi kuangamiza watu haitonza hapo command yako kwa all christian in the world including TZ itakapoanza kutekelezwa;nikianza na matukio ya hivi karibuni:visit hii link(http://www.counterpunch.org/roberts02042008.html) ili u...
  8. mwanasayansi

    Rais Magufuli, Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) haitumiki vizuri

    Hon.technique Thanx 4 Giving Us Ur Experience Mkuu Umenikumbusha Vitu Kadhaa: Kuna Rafiki Yangu Ni Graduate Wa Sua In Vertinary Medicine,alipata Ajira Katika Vertinary Center Moja Pale Dsm,siku Moja Akaniambia Amepata Dili Kutoka Wizara Ya Kilimo Ya Kwenda Kufanya Research Ktk Livestock...
  9. mwanasayansi

    Rais Magufuli, Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) haitumiki vizuri

    Hon.technique Thanx 4 Giving Us Ur Experience Mkuu Umenikumbusha Vitu Kadhaa: Kuna Rafiki Yangu Ni Graduate Wa Sua In Vertinary Medicine,alipata Ajira Katika Vertinary Center Moja Pale Dsm,siku Moja Akaniambia Amepata Dili Kutoka Wizara Ya Kilimo Ya Kwenda Kufanya Research Ktk Livestock...
Back
Top Bottom