Search results

  1. M

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Mimi mwenyewe mlala hoi naunga mkono hoja. Upelelezi hapo wa nini? Ikigundulika ni kweli upo mpango wa kuwauwa na watuhumiwa kutajwa watachukuliwa hatu gani! Mheshimiwa mmechemsha sana na serikali yenu dhaifu. Mfano 1.Waliotajwa na Mheshimiwa Mwakyembe ktk njama za kutaka kumuua wametiwa...
  2. M

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Bwana ehh! Kama mbwai mbwai tu,amuangalie mwenzie alikula maisha hapa Misri,Libya alijificha kwenye Kalavati, sasa yeye sijui atajifichia wapi wakati pale kakwe peupe sana. Ila tuwatie nguvu wana CDM wote kuwa liwalo na liwe,all developed country they were in trouble before why us? We are back.
  3. M

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Mimi mnyonge nisije tekwa na hawa Tiss, huwa napita sana pori letu lile laTaifa. Ila kama ni kutajwa naunga mkono hoja.
  4. M

    Serikali kuwashtaki viongozi wa chadema?

    Nasema mimi najipitia zangu tu,ila hawa jamaa dhaifu wanadhani wa tz wote ndiyo kama wao,sasa tumeamka. Waendelee kutajwa na wengine wengi tupo nao kitaa na majigambo ya ulevi hovyo.si mnajua pombe sio juice,naunga mkono hoja.
  5. M

    Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

    Hakuna kushauriwa vibaya,kwani yeye haoni. Ripoti zenyewe kitakwimu zinatofautiana.Raisi anayakwake, Waziri Mkubwa anayakwake na Waziri mwenye dhamana naye anayakwake sasa nyie hamuoni wanatuchanganyia vipindi tu. Na kwa taarifa yako brother Polisi mwezi wa tisa na wa kumi atakuwa Swazland kwa...
  6. M

    Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari

    Hivi wandugu,naomba nimjibu Kibai hv hata kama mkeo ana makengeza siunakubali 2 hata kama umependa,Nkhamia tulimchagua akatuwakilishe mjengoni sisi walalahoi na hatukumchagua akajaze tumbo lake,hivyo lazima atambue hilo swala lako la ukabila hapa halina nafasi,aongopee watanzania halafu umtete...
  7. M

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    We chama na wewe unaongea nini mbona hueleweki? Mamluki wewe tunakutilia shaka,we mtu kateswa na kudhalilishwa unataka kubisha, kama sio serikali yako imefanya hayo madudu RSA wanafuata nini tena? Damu ya mtu haimwagiki bure lazima mtaweweseka sana.
  8. M

    Cv ya Werema kweli ndo umlinganishe na Prof Issa Shivji? Kwa masters ya Online

    Jamani werema ni hewa maana mkimwita kilaza mnampa cheo,maana naona anaiza sura tu.Ila sababu kubwa ni huyo kaka yenu maana anajaribu kulipa fadhila,ushikaji umezidi. Mimi nimesomea chini ya mwembe ila jamaa akaushe asirudie tena. Wanateuliwa hovyo kuongeza idadi ya wapiga makofi akipita,hivi...
  9. M

    Werema ni aina gani ya mwanasheria Mkuu katika Tanzania Vis a Vis Tundu Lissu?

    Kaka na mimi nimeanza kuwa na wasiwasi na elimu yake kwani haijawahi kutokea kuwa na mwanasheria hewa kama huyu wa sasa,nina mashaka na wasiwasi pamoja na kusomeshwa bure na Mwalimu Nyerere,alikuwa haudhurii darasani na alipata elimu kwa kupendelewa na mwalimu 1 ambaye alikuwa analelewa kwao...
Back
Top Bottom