Search results

  1. Nawaza

    Elections 2015 Hongera Lowassa: Wewe ni bingwa wa siasa za Tanzania

    Kaka kuna madini makubwa, hata nilichelewa kuelewa ila huyu jamaa atakuwa ana akili sana
  2. Nawaza

    Maajabu hayaishi Tanzania! Nchi inayootewa kuwa ya Viwanda

    Kama kuna kitu tulikosea ni, kuruhusu Wasomi hawa wakubwa kuingia kwenye siasa, Tanzania siasa ina watu wake na si wasomi, kwa hiyo wasomi wanapokuja huku wanamezwa na siasa nao wanakuwa wanasiasa, usomi hauna nafasi, fuatulia kwa makini toka saga za mikataba ya madini, miradi ya yote mikubwa ya...
  3. Nawaza

    Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Sasa jukumu la kuwahudumia hao wanafunzi ni la nani?? Unaongea vitu kama haupo hapa nchini.....hv wabunge katika nchi hii na serikali nani ana wajibu kuwahudumia wananchi kama wajibu wake?? Mnakosa hoja mnatetea ujinga, nchi hii ina laana kubwa sana, watu ni vipofu mpaka hawajielewi, watu wana...
  4. Nawaza

    Bin Zubeiry kaa chini jitathmini kama unafaa kuwa mchambuzi wa michezo, ama acha kabisa hiyo kazi

    Kifupi hapa ndipo Watanzania wengi wanapotoka, kwa sababu....waandishi wa habari wamekuwa watu wa kawaida sana kinyume na taaluma zao! Si vibaya kuwa na opinion kama ile,lakini Bin Zubeiry ameangalia sana biashara kuliko weledi kwa kukubali udhamini wa Hans Poppe na Bakhressa! Kwa mantiki ya...
  5. Nawaza

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    Hakuna mtu mjinga duniani kama anayeshabikia dini, ila Mungu atambariki anayeabudu na kuheshimu maagizo ya Mungu! Hakuna sehemu waliyopona kwa kushabikia dini, watu wanawehuka tu vita vyote vya dini hudumu kwa muda mrefu! Kuna watu Tanzania wana hamu sana kuona hiyo hali wakijiamini wanaweza...
  6. Nawaza

    Marry your best friend you will be happy

    Unatakiwa kumfanya mpenzi awe rafiki yako, maana ukishakuwa unaishi na mpenzi kama marafiki kila kitu kitaenda sawa! Lakini kumbadilisha rafiki yako kuwa mpenzi, wengi jibu mnalo.....sana sana mtaishia kuwa maadui! Utasaikia, "yule kaka alikuwa rafiki yangu sana....nashangaa baada ya muda...
  7. Nawaza

    Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

    Kaka, mbona kama unaleta sinema! Kwa mtu ambaye yanayemtokea hayo, katika hali ya kawaida sikutegemea uishie hapo, yaani kama unatusikilizia hv......tunafuatiliaje!
  8. Nawaza

    Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

    Kaka ni hv, asilimia 100 huyo ana cheat! Kosa kubwa ulilofanya ni kumwacha na hyo tabia ndani ya ndoa lakini bado hujachelewa! Watu wanapotosha ukweli, hakuna mwanaume anayeweza vumilia mkewe awe ana private issue au simu yake iwe na password nyingi hivyo, unless unamchukulia huyo kama...
  9. Nawaza

    WHY SLAA MUST RESIGN...! "..effect of the crowded house.."

    Binafsi nadhani jamaa ana points, na sidhani kama ni kundi la kina Tuntemeke hata kama ni mmojawapo lakini amekuja vizuri! Lakini suala la kujiuzulu Slaa siafiki hata kidogo, ila nachojua kwa namna yoyote ile hizi scandal zitaharibu staha ya chama! Mimi concern yangu ni kwa Watz, wengi wao si...
  10. Nawaza

    Shafiidauda aangukia pua drfa abaki kubwabwaja clouds fm

    Tatizo kubwa la Tanzania, watu hawapendi facts hata wawe wana elimu vp! Watu wamejaa ubinafsi hawapendi kukosolewa! Kuna mtu hapo anajohi kama Shaffih kapita shuleni, kwa wale wanaomjua wanaona kabisa mtu ukijohi hivyo una chuki binafsi! Hata kama angekuwa hana elimu, tunatakiwa kuchambua...
  11. Nawaza

    Nimwambieje?

    Huwa nachekaga sana watu wakitakaga ushauri wa mapz, coz mara nyingi watu hawaamui kama wanavyoshauriwa bali hufanya vle mioyo yao inavyowatuma. Mi nakushauri jiridhishe kwanza huyo jamaa kama hana mtu, kwa nn? Inawezekana naye ana mtu sema kafurahi kuona kwamba nawe una mtu so hutamsumbua...
  12. Nawaza

    Kuoa Mwanasheria!!

    Japo hujawa specific wapi hzo sheria zinatumika, lakini jua kwamba sheria hazimtoi kuwa mwanamke na huyo anaweza kubebwa hata na mtu asiye na darasa hata moja na sheria zake kichwani. Hao ndugu kuna kitu wanaficha tu, siku zote mahusiano yana fall na nature ya two sex, wanawake siku zote lazima...
  13. Nawaza

    Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

    WatMi mgeni humu inaonekana mnajuana sana, Lakini mi nadhani mwanamke kawaida huwa anavutia m'me, so urafiki kati ya m'ke na m'me mara nyingi huwa either m'me ametoswa halafu akaamua kuendelea kuwa rafiki akisikilizia labda ipo siku itakuwa poa ambapo hii huwa mara chache sana mara nyingi demu...
  14. Nawaza

    Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.

    The thing that you dont know, watu hawapendi waheshimiwa watu wanasikiliza nini CDM wanasema, Slaa, Mbowe, Zitto sio issue watu wanaangalia nini kinachosemwa na hwa watu! Yaani baada ya kuyafanyia kazi yanayosemwa, mnaanza ku attack mtu mzinifu, hv South Africa si inaongozwa na mzinifu tu...
  15. Nawaza

    Rafiki niliyemuamini akanipora mchumba, Mungu akanilipia!

    Yote umenena....My take: Ukiona kitu hakiwi kama kilivyotarajiwa jua kuna kitu unaepushwa nacho...
  16. Nawaza

    Sitasikiliza tena RADIO ONE kipindi cha sports saa 1.30 usiku

    AOf course ni issue ya kishamba, mi pamoja ni Simba lakini sioni mantiki yaani ni kheri wasingetangaza, lakini kuanza kutangaza nafasi ya M/Mkiti ni dhahiri ni vita binafsi. Lakini binafsi simlaumu Kitenge coz anakidhi matakwa ya bosi wake, mashaka yangu ni heshima ya Mengi, natia mashaka...
  17. Nawaza

    Dr. Slaa sikuelewi, Badilika! La sivyo wewe na CHADEMA...

    Thread imekaa kishabiki na watu wamekujibu kishabiki, kuhusu mahusiano yake leo South Africa na Swaziland nadhani unawajua ma Rais wao na mpaka leo wako madarakani, kuhusu kukataa kuhojiwa then baadae kukubali sitaki kumsemea yeye anajua zaidi kwa nn amefanya hvyo kama mwanadamu wa kawaida...
  18. Nawaza

    Huduma za afya nchini: Mkapa vs Kikwete.

    Guys we all fight for this country, tatizo liko pale pale ni mfumo ndio unaotuangusha na sio mtu, tatizo la nchi hatuna plan kama taifa na ikajulikana hvyo ndio maana unaona kila mtu anasema yake, ama anaamua kusema yake kutokana utashi kwa mtu huyo. Haiwezekani Kikwete kukosa mazuri...
  19. Nawaza

    Kunani CHADEMA?

    Hata kama ulichosema ni cha kweli, lakini nguvu hyo tuitumie kwa huyu aliyeko madarakani mbona ana matatizo mengi ww kama mchambuzi umechukua hatua gani?
  20. Nawaza

    The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

    Nachelea kuamini Lowassa kuwa mgombea 2015, na pia kuwa Rais, okay yawezekana wanaosema haya wanajua zaidi ama wana data zaidi kuliko, lakini Watanzania ni wepesi kuamini kitu bila hata kufanyia uchunguzi ama kuumiza kichwa kidogo kisa tu, labda ameambiwa na mtu kutoka Ikulu au cjui babake...
Back
Top Bottom