Search results

  1. A

    Jiji la Mbeya mifugo inazurura hivyo

    Maeneo mengi ya jiji LA Mbeya Mifugo haina utaratibu has a Ng'ombe na mbuzi.Mamlaka husika tafadhali zifanyekazi.
  2. A

    Ni Friji Gani Nzuri?

    Wana Jf Nisaidieni Nataka Kununua Friji Kwa Matumiz Ya Nyumban Na Kugandisha Barafu/ice Cream.Lipi Lina Tumia Umeme Kidogo Na Imara,nashukuru.
  3. A

    Simba SC kamwe haiwezi kuiombea dua jema Yanga

    Kila Timu Inapigania Kuweka Rekodi,sio Rahis Ukashangilia Timu Pinzan,huwez Ukakuta Msha Bik Wa Baca Anakwenda Kushangilia Madrid Au Hata Kwenda Uwanjan Tu,labda Iwe Inacheza Na Timu Yake.
  4. A

    Simba SC kamwe haiwezi kuiombea dua jema Yanga

    Mleta Mada Upo Sahihi Sana,nilikuwa Nasikiliza Mech Nikihofu Yanga Ikishinda Kesho Nitajificha Wapi?Alafu Sio Kweli Kuwa Kutoisapoti Klabu Ya Nchin Mwako Sio Uzalendo.Wenzetu Ulaya Huwez Ukakuta Mtu Wa Mji Mf:Newcastle Akishangilia Timu Ya Mji Wa London,kila Timu Kwa Mech Za Ndan Au Kimataifa...
  5. A

    Hivi gharama za maisha kupanda Dodoma huwa ni kwa wabunge tu?

    Kila wakati wabunge hulalamika kuwa maisha yamepanda,lakini kama ni watu wanaoishi kutegemea kipato cha serikali pia wapo watumishi.Pia kuna wafanyakaz wanaosafiri kwenda huko kikazi katika kipindi cha bunge kwa kulipwa 65,000/-kwa siku.kama kuwepo kwa Bunge kunapandisha maisha basi wakazi wa...
  6. A

    Serikali Imeshindwa Kuwalipa Fedha Ya Nauli Ya Likizo Walimu Jiji La Mbeya.

    Walimu Wa Jiji La Mbeya Hawajalipwa Fedha Za Nauli Ya Likizo Ya Desemba 2013.Ikiwa Sasa Tunaingia Mwezi Wa Feb 2014 Haieleweki Sababu Ya Kukwamisha Malipo Haya Kwa Muda Wote Ninin?Hali Hii Inafanya Walimu Muda Mwingi Kutumia Kufatilia Madai Hayo.
  7. A

    Hakuna mZanzibar aliwahi kushika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya nje

    Wa ZANZ..Kama Watoto Kazi Yao Kulia Lia Kama Watoto Waliodekezw,diria Aliwah Hata Kukaguliw Uwanja Wa Ndege India Wakihisi Muuza Madawa Ya Kulevya,nadhan Ulikuwa Hujazaliwa Ni Mzanzibar.R.I.P DIRIA
  8. A

    Hakuna mZanzibar aliwahi kushika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya nje

    Wa ZANZ..Kama Watoto Kazi Yao Kulia Lia Kama Watoto Waliodekezw,diria Aliwah Hata Kukaguliw Uwanja Wa Ndege India Wakihisi Muuza Madawa Ya Kulevya,nadhan Ulikuwa Hujazaliwa Ni Mzanzibar.
  9. A

    Wiki Moja Bila Mawazir 4,na Waliopo Ni Mizigo,je Kuna Sababu Kuwa Na Mawazir Wengi?

    Ikiwa Tumekaa Wiki 1bila Mawazir 4na Wa5 Amefariki,waliopo Ni Wale Mizigo.Je Kwa Kutokuwepo Au Kwa Kutokujazwa Nafasi Zao Kunapengo Lolote?Na Kwa Kuendelea Kuwa Na Mawazr Mizigo Hadi Leo.Je Kunasababu Ya Kuwa Na Mawazir Wengi?Je Hiv Jk Akiamua Kuendelea Hiv Hiv Bila Kujaza Nafas Waz Kuna Athar...
  10. A

    Kama Serikali Ina Nia Ya Kutokomeza Ufisadi Serikalin Njia Hizi Zinafaa.

    Njia Ya Kwanza Ninayoona Inafaa Ni Kwanza Kumzuia Mtuhumiwa Kutumia Baadhi Ya Mali Za Mpaka Mahakama Itakapo Muona Hana Hatia.Kwani Kumuachia Uhuru Wa Kutumia Mali/fedha Alizoiba Serikalin Inamfanya Kuzitumia Fedha Zile Kuhonga Majaji.Kama Kuna Njia Nyingine Tafadhali Toa Tuchangie.
  11. A

    Serikali Ifuate Mwaka Wa Fedha Kupandisha Bei Ya Huduma Zake Kwa Wananchi.

    Serikali Iliweka Kuwa Kila Mwezi Julai,katika Kipindi Hicho Hupandisha Mishahara Ya Watumishi Wake Na Kupanga Bajeti Yake.Sasa Inakuwaje Serikali Ipandishe Gharama Za Maji ,Umeme Katikati Ya Mwaka.Wadau Mnaonaje Hilo.
  12. A

    Hawa Ghasia asema wengi wanasema hana uwezo kuongoza TAMISEMI

    Watu Hawapandishwi Vyeo Kwa Wakati.
  13. A

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    wasubirie wako kulipa madeni wasiporudi utawaona tena mwisho wa mwezi ujao.
  14. A

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    jiji mby mchana huu ccm juuuuuu ,kinana oyeee,pembe za ndovu safii,wasaliti CHADEMA MPOoooo
  15. A

    Wana JF Iringa mjini gesti gani nzuri kufikia?

    wiki bado haijaisha,bado nafuatilia majibu yenu naona chenga.nipo serious tafadhali guest iwe na bar au karibu na bar.
  16. A

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    mbeya pia bado,pesa iliyokuwepo serikali ilitumia kulipa wasimamiz wa mitihan kidato cha iv na std iv,maana nao walikopwa.INAWEZEKANA WANAFANYA MPANGO WA KUMKOPA BAKRESA AU MENGI.
  17. A

    Wana JF Iringa mjini gesti gani nzuri kufikia?

    hiyo ni fahari ya macho inasaidia kusogeza muda.
Back
Top Bottom