Kazi hiyo sio ndogo kutokana na CV za baadhi ya wanaotarajiwa kuchafuka, hivyo umakini mkubwa unahitajika. Ole wao watakaokimbilia Bagamoyo!!!!! Na kwa sera za CCM wapinzani kuwepo kwenye baraza si rahisi.
Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike wadhifa huo.
africanus
Nadhani kwa yaliyotokea Bungeni jana yanatosha kupata jibu. Nimefurahishwa jinsi wabunge wa CCM walivyotoa hoja zao bila woga na kwa uchungu wa nchi yao, haya ni mabadiliko yanayotakiwa kwa hivi sasa, maana hii ndio demokrasia ya kweli. Mwelekeo tunauona. Kwa hali hiyo usafi utakuwepo bila shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.