Search results

  1. Drama.abk

    Nina 750k, nahitaji Note 3

    Kama unayo ni PM
  2. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Sawa mkuu.
  3. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Hiyo ndo bei mkuu. Hapo nimeishusha sana, hizi laptop ni very rare na zina perform vizuri tu
  4. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Sawa mkuu nimekuelewa
  5. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Kwanini niseme uongo mkuu, ni mpya kabisa mkuu. Haina hata Scratch
  6. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Nimekuelewa mkuu, sina Camera alafu simu yangu ya tochi ndo maana kuweka picha inakuwa ngumu mkuu. Ila unaweza kuiona hata kama hauna mpango wa kuinunua
  7. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Sina njaa ndugu yangu. Ndo maana nimesema SERIOUS BUYERS only. If you are interested Send me a PM. Utaiona kwanza ndo uamue mwenyewe kuchukua au la!
  8. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Windows 7 Starter ndo inayokuja nayo ila unaweza kuweka yoyote utakayopenda. Ni 32-bit
  9. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Poa mkuu naona ulikosa kitu cha kusema :A S thumbs_up:
  10. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Mkuu ndo maana nimetoa jina na model ya hiyo laptop ili uingie GOOGLE na kuicheck. Nimeshindwa kuweka picha
  11. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Mkuu ndo maana nimetoa jina na model ya hiyo laptop ili uingie GOOGLE na kuicheck. Nimeshindwa kuweka picha
  12. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    Kusema kweli kuelezea sitaweza vizuri ila unaweza ukaingia GOOGLE na Andika NOTEBOOK FANS na utaona nichomaanisha mkuu
  13. Drama.abk

    Mini laptop mpya inauzwa

    ASUS X101CH NOTEBOOK 2GB RAM 280GB HARD DISK DRIVE (HDD) 1.6GHz PROCESSOR INAKUJA NA EXTERNAL FAN YAKE BRAND NEW!!! BEI NI 290,000/ (FIXED) NIPO DAR ES SALAAM Ni PM kama upo interersted SERIOUS BUYERS ONLY
  14. Drama.abk

    PS3---Quick Sale!

    Inakuja na what games?
  15. Drama.abk

    PS3---Quick Sale!

    300,000 je?
  16. Drama.abk

    St joseph college of Engineering( dar es salaama,Tanzania)

    Mkuu hapa sijakuelewa aisee.. Is this proper?
  17. Drama.abk

    St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

    kINAKIMBIZA KIVIPI? hebu nifafanulie vizuri mkuu
  18. Drama.abk

    Freshers'- Kama umepata room main campus UDSM inakuhusu.. MALE

    Give me your offers incase unauza sehemu yako uliyopangiwa, either hall 4, 5 or 6. Ni PM if you have a reasonable offer.
  19. Drama.abk

    Freshers'- Kama umepata au utapata room main campus UDSM inakuhusu..

    Nanunua room au kama unaweza kunibeba nitalipa gharama zote za room kwa mwaka mzima (1st and 2nd semester). Kwahiyo kama hii post inakuhusu niPM tuwasiliane vizuri ila kama hii post haikuhusu, basi pita tu kama hujaiona. Hall 4, 5 & 6. Over!!!!!
  20. Drama.abk

    ON SALE: SONY XPERIA MT11i

    Used for 5 months, its in good condition and functions well. Colour: WHITE PRICE: 399,900 ukitaka mpya nenda dukani and ask for its price... Tshs.720,000/
Back
Top Bottom