Search results

  1. manumbu1

    Handaki kubwa lakutwa chini ya nyumba ya Ibada ya Mayahudi Sinagogi huko NEWYORK

    Waislamu Wana chukiwa sana na wayahudi hali kadhalika wa kristo Wana chukiwa sana na kuitwa idol worshipers lakini still wayahudi wa Africa (waswahili wenzetu) Wana watukuza na kujikomba na kuwaita taifa teule.
  2. manumbu1

    Picha: Kifahamu kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi

    Wewe unapigwa mpalange? Sent from my CPH2271 using JamiiForums mobile app
  3. manumbu1

    Hii kasi ya wazanzibar kumiliki ardhi ya Morogoro inatisha sasa

    Hao wageni unaosema ni Wa Zanzibari?
  4. manumbu1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wako Shakahola kwa Pastor McKenzie.
  5. manumbu1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Chai moja na boflo kavu
  6. manumbu1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sawa kabisa serikali imjengee sanamu. Lakini tenda ya sanamu asipewe Kigwangala.
  7. manumbu1

    Vimto kutoka Saudia ni kinywaji bora kama utaweza jaribu kunywa hutajuta

    Kuna kiwanda pale Jahra kuwait cha vimto.Ama kweli nimefaidi.
  8. manumbu1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hii Sio baruti na utambi kweli?
  9. manumbu1

    True legend

    Sikuwahi kumpenda.
  10. manumbu1

    Tunga sentensi 5 kuhusu Polepole

    Huyo Polepole ni mnafiki kupindukia, kiroboto wahed. Awamu ya tano alikua msema hovyo na kukandia Awamu ya nne, huyu ni kiroboto mhuni. Polepole ana shangaa nini kumsema Nape alichukia Awamu ya tano kwani Polepole ndani ya nafsi yake anaipenda Awamu ya mama Samia? Nasema ningemkuta peke yake...
  11. manumbu1

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Huyu ni Mwakyembe
  12. manumbu1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Chagua mji mkuu
  13. manumbu1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tumuite Msukuma
  14. manumbu1

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Wataje mimi namjua Mzee Kenyatta tu
  15. manumbu1

    Huyu jamaa tumuweke kundi gani?

    Nakuona umempiga picha Ukiwa ndani ya daladala lako.
  16. manumbu1

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Povu ruksa
  17. manumbu1

    Vichekesho

    Ukikua uta acha.
  18. manumbu1

    Nimeona mrithi wa Hayati Dkt. Magufuli kuongea kwa data Bungeni

    Unataka utukanwe sio, tunaipenda JF usi tutakie bani.
  19. manumbu1

    Hospitali ya wilaya ya Korogwe haina umeme!

    Hospitali kuu ya wilaya ya Korogwe ni Makuyuni au Magunga?
  20. manumbu1

    Picha za kusikitisha wakati wa Biashara ya Utumwa

    Waarabu watu wabaya sana
Back
Top Bottom