Search results

  1. M

    Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

    kweli nchi yetu iko mbali sana na maendeleo ya ukweli! manake Mwalimu J. K. Nyerere alishasemaga - adui mkubwa kuliko wote kwa binadamu ni upumbavu! kama mtanzania mwenyewe haelewi mabadiliko yanayotakiwa kufanyika ili kuwanufaisha watanzania wote kwa ujumla, mabadiliko yatawezekana kweli? Nchi...
  2. M

    Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

    uzalendo ni pale ambapo wananchi na serikali yako hawakujali? pale ambapo unaona mgonjwa akilala sakafuni na kufa kama mnyama jalalani kwa ajili ya ukosefu wa vifaa na dawa usio na sababu? ni kuona jinsi mtoto wako pia akiwa na njaa nyumbani na kushindwa kumjibu mke wako mtakula nini kesho? ni...
  3. M

    Hali muhimbili sio shwali,mgomo baridi umechukua sura mpya

    Saturday ,21 July 2012 06:17 Hali ya utoaji wa huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili inaendelea kuwa mbaya siku hadi siku toka madaktari katika hospitali hiyo warudi kazini kufuatia hotuba ya vitisho kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi Juni. Uchunguzi...
  4. M

    Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

    unaongelea watu waliosoma vyuo vikuu UTADHANI WEWE UNA ELIMU YA CHUO! MAFORM FOUR LEAVER BWANA!!!!
  5. M

    Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

    tehe tehe tehe! hawa tu 1700 hamuwezi kuwalipa wala kuwajengea mazingira bora ya kazi, wala kuwapa vitendea kazi na madawa ya kuwapa wagonjwa! itakua kama baba anayezalisha mitoto miiingiiii halafu anaitafutia leseni za magari wakati gari alilo nalo halina usukani wala matairi, halafu liko...
  6. M

    Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

    ndio maana huna uwezo huo nyangau weeee! na kama hutaki kuwalazimisha si wachunie tu, mbona unamind wakigoma? si huwalazimishi kufanya kazi ya udaktari bwana?
  7. M

    Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

    poyoyo mwingine huyoooo! yaani wewe uende ukanunue wese la kuchakachuliwa BP petrol station halafu umfungulie mashtaka mfanyakazi anayekujazia wese? kweli huelewi jinsi ambavyo sekta ya afya ilivyo, wala dhamana ya afya ya mtanzania iko kwa nani kikatiba, ila naomba nikupe uhakika kuwa HAIKO KWA...
  8. M

    Siri za Uchunguzi wa Tukio la Dkt. Ulimboka zaanza Kuvuja

    jamani, tusifanyane wapuuzi humu bwana! hizo story nenda kazieneze nyamkonge ambako ndio kuna watanzania wenzetu waliosahauliwa na waliokutuma wewe hadi mtandao hawaujui!
  9. M

    Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

    lol! unawaiga? kwa taarifa yako mikopo ya nchi kama marekani sio kama unavyoielea wewe, sio kama ya JK kwenda nje na kuomba pesa! serikali ya marekani haidaiwi, ni makampuni binafsi yanayokopa kwenye mabenki around the world kwa ajili ya bussiness project zao kwa sababu wako global, ila kwa...
  10. M

    Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

    na huku tena upo! unajaribu kuwafanya madaktari ni wanasiasa? kichwa kama tikitimaji!
  11. M

    Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

    hahaha! kweli hii nchi sijui tutafika lini huko tunapoelekea! manake naona mkuu wewe ni kichwa nazi kabisaaaaaaaaa!!!!! lakini kukuambia pia haisaidii, sidhani kama utaelewa ninachojaribu kukueleza!!!
  12. M

    Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

    jamani jamani! kweli kuna waongo! niko hapa na rafiki yangu ni daktari na anajua kuhusu mkutano huo ambao ni kweli utakuwepo, ila hizo agenda naona kama zimetwistiwa sana mkuu! hako kafigure ka hela sio ka kweli, na maandamano tayari yameishatangazwa kwa ajili ya wiki ijayo, kwa hiyo hio pia sio...
  13. M

    Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    pumbav kweli kweli! sidhani kama una IQ ya kutosha kutoa advice ya aina yoyote ile kwa madaktari kama hata unaweza kusuggest kuwa maandamo ya aina zote ni siasa! acha mambo yako bwana, hawa watu wanapigania sekta ya afya ya nchi yetu ikiwemo na PROFESSION (ili uwe unajua namna ya kutumia maneno...
  14. M

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    kutokuwa na ushahidi kwa sababu umefichwa na hao hao haimaanishi kuwa ukweli unabadilika!
  15. M

    Kama Madaktari wangeongezewa marupurupu yao ingekuwaje?

    mkuu, ni stress za kimaisha na kikazi zinazowafanya wanywe! wanaona vifo kila siku makazini kwao ambavyo havina sababu, wakitoka kazini hela haitoshi, bora wajilewee tuu wazisahau hizi shida za hapa TANZANIA yetu hii yenye watu wenye akili fupi kama zako wewe!
  16. M

    Kama Madaktari wangeongezewa marupurupu yao ingekuwaje?

    hili RIJINGA kweli kweli! wambie dereva akufikishe uendako bila matairi ya gari basi!
  17. M

    Huduma za afya nchini: Mkapa vs Kikwete.

    AAAAAAAAA ZEMARKOPOLO!!!!!!!! karibu katika uwanja wa JF na nia zako zijulikanazo DR IMANI KONDO MPONDA!
  18. M

    Huduma za afya nchini: Mkapa vs Kikwete.

    hakuna lolote! mwaka 2005 mwishoni mwa kipindi cha Mkapa kulikuwa na mgomo mkubwa sana wa Madaktari hapa TAnzania, hii pia ilileta changamoto kubwa sana kwa serikali ya CCM kuwa makini zaidi na sekta ya afya, wakapanisha mishahara na kuanzanza kuboresha sehemu kadhaa za skta hio. Tatizo ni...
  19. M

    Dah..Uongozi kwa style hii sio Tanzania...

    kama huyo daktari mwenye mapesa mengi unayemjua wewe ulimpa mtaji wewe ama alipewa mtaji na wazazi wake wenye uwezo ama alilazimika kuiba x ray hospitalini na kuiuza ili kupata mtaji sawaaa......... Lakini madaktari niwajuao mimi hapa mjini dar es salaam bia tunawanunulia sisi, hela ya mafuta...
  20. M

    MOI Wajiunga Tena na MGOMO

    inakusaidia nini kukaa na utu uzima wako ukaanza kutuandikia uongo humu? haya mambo sio ya utani fisi wewe, mtu anaweza akakuamini akamtoa mgonjwa wake kutoka mbagala mpaka moi usiku wa manane akafika MOI akakuta hakuna kazi, na mgonjwa wake akamfia! bora umuache na ukweli ili at least ajipange...
Back
Top Bottom