Search results

  1. N

    Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

    Mbona kawaida kufanyia ukarabati kwa chombo cha moto
  2. N

    Propaganda hizi za TBC ni za kipuuzi, za hovyo

    Hivi TBC ipo hewani?
  3. N

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Wizi wa kwenye mitandao imeongezeka sana polisi wanapaswa kumaliza kero hii
  4. N

    Wizi kwenye mitandao police mbona hawanyi kitu

    Kumekuwepo na wizi mkubwa kwenye mitandao ya simu kwa kipindi cha karibuni. Mimi mwenyewe majuzi kijana wangu wa kibanda cha Mpesa amekuwa muhanga wa wizi huu. Cha kushangaza tunakwenda kutoa taarifa police nao wanasema ni kweli kuna wizi sana. Sasa tunajiuliza namba ina jina simu imesajiliwa...
  5. N

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Siasa ni taratibu za maisha ya kila siku ya binadamu zinazoratibiwa na sheria na kanuni mbalimbali. Kusema hutaki siasa ni kusema hutaki watu waishi kwa mujibu wa sheria ila tamko la mtu ni ubatili na kulewa madaraka
  6. N

    Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

    Kwa nini Lugumi imeshindikana au ndiyo ahadi JPM aliyomuahidi JK kuwa atamlinda awe na amani maana imemalizwa kimtindo sana
  7. N

    Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja

    Kura ya kuamua kubaki au kutoka katika muungano ni ngumu sana labda kama jecha kastaafu uenyekiti wa ZEC
  8. N

    Afadhali Rais Magufuli asieleweke

    Magufuli watu wanamuelewa ndiyo maana wanampinga kwa vitendo vyake vya kukiuka haki za kidemokrasia kwa kisingizio cha maendeleo. Dunia nzima imethibitika nchi zenye democrasia ya kweli zimepiga hatua kubwa ya maendeleo
  9. N

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Uchimbaji wa mchanga katika mto nyakasangu mbweni imekuwa kero sugu ambayo imewashinda polisi, manispaa ya kinondoni, NEMC na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Mto huu ni moja ya maeneo yaliyopigwa marufuku kuchimba mchanga lakini malori yanachukua mchanga, katika kufuatilia tumegundua huu...
  10. N

    Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia, Kikwete apelekwe mahakamani

    Ila Magufuli lazima ajiangalie sana maana anakokwenda atapotea haraka mno, kutotenda haki na kufikiri unajua kila kitu ni kujitakia majanga. Busara ya kiongozi yeyote ni kusikiliza kwa makini wengine wanasemaje na si wewe tu kusema kuibuka na kuonea watu hata wasifanye mikutano ya ndani ya ofisi...
  11. N

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Rais John Magufuli amejinadi na ametekeleza ahadi yake ya kutumbua majibu ili kuboresha utendaji katika utumishi wa umma jambo ambalo ni jema. DAWASCO ina jukumu la kusambaza maji safi na kuondoa maji taka Dar na Pwani, cha kushangaza sehemu kubwa ya miji haina maji japo kuna mipango mingi ya...
  12. N

    Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    Maamuzi ya mwendo kasi ndiyo athari zake sasa
  13. N

    Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

    Halima mdee yeye kushughulikia issue za wapiga kura haonekani mshahara wa magufuli ndiyo unanatatua kero za wakazi wa kawe kweli?
  14. N

    Magufuli: Wanaopita kwenye barabara za mwendokasi chomoeni tairi za magari yao muuze

    Naliona taifa likiwa limepoteza dira sijui nani atalikomboa taifa maana naodha hajui tunakoenda nae anahitaji kuongozwa
  15. N

    Kauli za Rais Magufuli na mustakabali wa Taifa letu

    Acha mambo yako siyo unyonge mzee ana busara sana hawezi kujibu maneno ya hovyo
  16. N

    Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

    JPM kwa kweli amedhiirisha kuwa ameshindwa hii kazi mapema sana
  17. N

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Mimi nafikiri rais wetu anapaswa awe anachagua maneno ya kuongea maana naona sasa ni dhahiri bila shaka anapoteza mwelekeo mapema sana nahisi hana dira maana ni kama vile anaibuka tuu bila kujiandaa sijui wasaidizi wake kama kweli wanamsaidia na kumueleza ukweli vinginevyo ataendelea kutia aibu
Back
Top Bottom