Search results

  1. M

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Kulikoni huko tanganyika. Sie huku znz hali ni shwari kabisa.
  2. M

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Mgomo ni huko huko tanganyikani huku kwetu znz hali ni shwari kabisa.
  3. M

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    mchawi wa waislamu ni BAKWATA.
  4. M

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Wanaishia kusema mahakama italeta vita bila kueleza kwa undani how religious war itatokea kutokana kwa uwepo hii mahakama. Bado sijaona madhara ya hizi mahakama kwa nchi kama ya uganda ambayo inayo hii mahakama.
  5. M

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    ewe mkristo tambua ya kwamba mahakama ya kadhi itawahusu waislam na kuhusu gharama za uendeshaji ni zao wenyewe kama serikali ilivyosema. Kwanini mnapenda kuwanyima haki zao waislam. Hivi ni kweli mahakama ya kadhi italigawa taifa kwa lipi hasa hebu tuseme ukweli. Mimi naona endapo mahakama ya...
  6. M

    Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Kwa mwenye kujua wapi nitapata dawa ya kuongeza unene wa mwili naomba tuwasiliane.
  7. M

    Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Hata ukitaka aje kwenye birthday party yako atakuja tu cha msingi fata utaratibu. Huyu ni rais wa watu wote hana iyana.
  8. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Kwani tatizo liko wapi. Hatutaki kodi yenu. Tunataka mahakama itambulike na sheria za nchi yetu.
  9. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    kwani sisi tumeomba kodi yenu.
  10. M

    Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    kumbe waoga eee. ndio muwe wapole muache kihele hele
  11. M

    Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Nasema hivi bila kuingia kwenye civil war hatutoheshimiana kwa kuwa kila upande unajiona upo juu zaidi ya mwingine.
  12. M

    Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    Linapokuja swala la mahakama ya kadhi ndio tunakumbuka kuwa nchi haina dini. Mbona kuna taasisi za makanisa zinapewa ruzuku kuendesha shughuli zao. Mimi nadhani hii nchi inatakiwa tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio tutaheshimiana. Mifano ipo mingi ya nchi ambazo ilitokea civil war na...
  13. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Pesa za wananchi zinagawiwa kwa taasisi za makanisa kwa kigezo cha kutoa huduma lakini cha ajabu huduma za makanisa ikiwepo vyuo na mahospitali wanawatoza wananchi pesa nyingi. Uko wapi msaada wa haya makanisa ktk kusaidia wagonjwa na wanafunzi wa kipato cha chini yaani maskini. #mfumoKristo
  14. M

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Huwezi kukanusha uwepo wa Mfumo kristo kwa kuangalia idadi ya watu. Matukio ya kanisa kuingilia maamuzi ya serikali yanayowahusu watz waislamu ktk nchi yao huo ndio mfumo wenyewe. Yaani kanisa kuwa na sauti kuzidi serikali. Mfumo uliasisiwa na nyerere pamoja na askofu rugambwa laanatu-llah
  15. M

    Malalamiko: Kampuni ya Tigo mnakera

    Ndugu wana jamiiforums. Mimi ni mteja wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO lakini cha kushangaza tokea nimefika hapa mjini Morogoro takribani mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia huduma mbovu za kimtandao ndani ya Mkoa huu. Ikifika saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku network inakuwa zero haswa kwa...
  16. M

    Mwanafunzi wa RUCO aliyechomwa moto akidhaniwa ni mwizi afariki dunia

    kwanini aliamua kukimbia baada ya kuitwa na mlinzi. Hapa bado kuna utata.
  17. M

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    tatizo tunalinganisha udom na udsm. itachukua muda kwa udom kuwa juu kama udsm kwa sababu hata udsm nayo ilianza kama udom. lakini cha ajabu unakuta mtu anasoma sauti au tumaini halafu anajilinganisha na wa udom ambae ana sifa zote za kusoma chuo bora tanzania(udsm). wanafunzi wengi wa udom...
Back
Top Bottom