Search results

  1. M

    Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    Gulu ndo Rika lako ki Upeo. Mnafanana sana nawe ni daktari wa uchumi ama?
  2. M

    Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    Sikulaumu Kwa kuwa Upeo wako ndo umeishia hapo. Wasalimie LUMUMBA.
  3. M

    Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    GPA tunaziona kwenye michango yao....., Gulu kaachwa mbali sana na Pina.hapo ndo utajua kuwa kuna GPA za mchongo kama ilivyokuwa PhD ya Bwana yulee....
  4. M

    Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

    Usipojua neno huambiwi Maana, JIBASHITEGE
  5. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    KIKOBA Cha LUMUMBA mmeanza na SHERANI lazima mmalize na SHETANI, mtaendelea kufuga chatu Mpaka milele.
  6. M

    Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

    Acha vitisho. Lumumba mmezoea kunyamazisha watu kwa kuwateka,Risasi, kuua. Humu mmegonga mwamba. mtaandikwa tu. Mwisho mnapaswa kujitathmini.....,Mmeua ,mmepoteza ,watu mmeteka watu,mmejeruhi watu na vitisho vya kila aina Bado watu wanawakosoa. kubalini yaishe Acheni watu wachague /...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

    Acha kutulisha matango PORI ,kujifanya waijua system. Na waujua mfumo DEVIL Hatutishiki na vitisho vyenu.
  8. M

    Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

    UZALENDO WENU NI MTU KUWA KAMA ZEZETA ,kusapoti kila kitu mpaka Kutumbua DAS kwa sababu ya Kamchepuko ka kisarawe tusisifie tuuuuuuuuu daaah.
  9. M

    Tundu Lissu jitafakari juu ya sumu uliyoimwaga Ulaya na Marekani kuhusu nchi yetu na Serikali yake kabla ya kurejea kugombea Urais

    Unajua Mwenye MAPEPO huwa anaongea asiyo yajua?. Mbaya zaidi huwa anadhoofisha Afya yake kwa Maslahi ya wengine JIFIKIRIE TENA kea utumwa waki wa fikra ndani ya CHAMA CHA WAFUGA CHATU.
  10. M

    Hawa ni baadhi ya WanaCHADEMA waliokamatwa ndani ya wiki moja tu na kunyimwa dhamana. Who is next?

    Kukataza mtu mwingine asigomee na kulazimisha wote waseme ndioo nayo ni BUSARA?, Uzezeta umeabadili mpaka uwezowenu wa kufikiria.
  11. M

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Nimemuonya DAS kutembea na wake za watu hasikii Leo tunamalizana Hapahapa...., (Mke mwenyewe mchepuko JHOKATE) ..........lol
  12. M

    Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Mlivyokuwa MAZEZETA, huchelewi kuwaza sababu LIBYA kuna Mafuta Tanzania na TZ kuna gesi.
  13. M

    Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    LUMUMBA wana mihemko isiuojulikana inatoka wapi, Wanasema mgombea wao anakubalika lakini wanaogopa Asipambanishwe na mtu yeyote. Chama chote Wamekuwa kama MAZEZETA. Wametengeneza KINYAGO wenyewe kimegeuka kuwa KIJI mungu Chao.
  14. M

    Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

    Hata Akibaki Mwenyekiti pekeake bado Mtamuogopa kama UKOMA , Tatizo mlianza na shetani kufuga chatu hamuwezi kumaliza na MUNGU.
  15. M

    Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

    Mtagalagala mpaka mbaki kama mlivyo zaliwa na CDM itabaki kuwa juu juu juu zaidi. matumizi ya uwanja na trafic light chato hayajui mnajua ruzuku za CDM.
Back
Top Bottom