Search results

  1. S

    Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    Hahaaaaa. Nimependa analysis yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Baada Ya Kishapu, Manyoni Nao Watangaza Njaa

    Kenge hajawahi sikia mpaka damu itokee sikioni
  3. S

    Ukomo wa ajira vyeti feki huu

    Tushachoshwa na uhakiki, tafuta mbinu ingine
  4. S

    Kadi za kupigia kura za wanachuo zinaibiwa huku Dodoma

    Hao wanaojiita wanavyuo ni viazi tu. Ndo division five hizo a.k.a BRN
  5. S

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Kipimo cha fikra za mtu humtambulisha yeye mwenyewe na hasa hasa huutambulisha uono wake kinaga naga. Never abandon political sign since might implicate expectations.
  6. S

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Acha utoto, weka list ili tulioko magharibi mwa nchi tulitathmini hilo baraza
  7. S

    You can never 'just be friends' with somebody you fall in love with

    Unastahili kutenganishwa kati ya kichwa na kiwili wili. Mke anauma sana
  8. S

    Uliza chochote kuhusu Karagwe na Wanyambo wanaopatikana mkoa wa Kagera

    Safi sana, mi ni mnyambo mwenye asili ya uganda maeneo ya nkole inavosemekana ingawa mi sijari stori hizo ila la maana ni kujivunia karagwe yangu, hahahaaaa
  9. S

    Julius Mruta amemshinda Dr. Bana kwa hoja makini

    Mi kwangu Benson Bana ni sawa sawa na darasa la pili la zamani tokana na anavyoweza kujidhihirisha kwenye mdahalo na upigaji kura wake juu ya katiba pendekezwa ndan ya BMK, hasitahili hata hiyo Phd ndo maana siwezi kumuita dr labda kama iwe ya hono kama ya jamaa yenu yuleeeee. He is the fake...
  10. S

    Picha: Maandamano ya amani ya BAWACHA yaliyovurugwa na Polisi

    Najiulizaga hivi, polisi wetu wana dhamiri ya utashi kweli?
  11. S

    Dk 45 ITV: Wassira anazungumza juu ya Katiba Mpya

    Nadhani anaumwa mzee huyu. Hivi ni kweli mtu anaweza kudumaa akili akiwa na umri usiopungua miaka 50+?
  12. S

    Chama cha Wanasheria wa Tanganyika mpo wapi?

    Sina hakika kama wanataaluma wetu wa dheria wanatumikia Chukua chako Mapema a.k.a (CCM)
  13. S

    Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    Issue si utanganyika bali udanganyika, shit.
  14. S

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ahsante mdau kwa kutupatia rasimu hii jamvini hapa
  15. S

    Mawasiliano ya chadema makao makuu

    Ningekupatia ila nina wasi wasi na wewe, usije kuwa kipere. Anyway, nenda TCRA watakupatia.
Back
Top Bottom