Search results

  1. M

    Urais, Halima, Nassari na Kigoma

    Unacheza na maneno wewe Zitto! lazima una hila nyuma yako! kumbuka wakati wa uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki uliibuka na maneno yako haya tata kama mchawi!! kwamba unautaka urais!! yani watu tuko biz tunahangaika kuhakikisha Joshua anapita katika AM, wewe ukaibuka ki vile, tafsi ya wengi...
  2. M

    Mdee naye amkana Zitto na Urais...

    Halafu ile kukusanya wasanii wa kigoma (Ukabila) eruption yake ndo hii! yani zitto huu ndo ulikuwa mpango?? kuutengeneza ukabila kisha kuuwaalika wabunge wenzio waudhibitishe katika magazeti uliyokuwa ameyapanga ukisaidiwa na ikulu! Kumbuka we zitto, JK alitumia sana magazeti ili aingie ikulu...
  3. M

    Mdee naye amkana Zitto na Urais...

    Mwananchi sasa basiiiiiiiiiiiiii! tubakie na daima letu na mwanahalisi basi
  4. M

    Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

    Abed au yupo mwingine ha ha ha
  5. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Ndo uchochoro wao siku hizi wa kujifichia ha! ha! ha!
  6. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Na jamaa alivyo muuwaji! lazima achukuwe tahadhari za ziada
  7. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Ha ha ha ha!
  8. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    "Kuchamba kwingi mwisho kubaki na mavi"
  9. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Nimependa haka kautafiti!! kametulia
  10. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    hapo chacha
  11. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Kweli ccm ni chama cha machakachuzi na mijizi kwa kila kitu! yani wanaiba mpaka jina!! dah! dah! dah! Hii lazima tupate mrejesho wake manake jamaa nafikiri kasimama kumbe kaanguka! chezea cdm wewe! ni pipozz powa! kama alifikiri anapambana na Mnyika sasa ajue kuwa alaikuwa anapambana na pipozzz pawa
  12. M

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Duuh! nadomo lote lile kumbe ni liripiti (lilirudia ili lifaulu) ha ha eti musomi wa uchumi daraja A ha ha ha! sasa tunamtafuta huyo mwigulu mwenyewe mpaka tumpate halafu tunakupeleka mahakamani ! mwizi mkubwa we!
  13. M

    Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

    Isimpe nchi mshwahili kuongoza bwana hizi kweli porojo
  14. M

    Serikali tupeni majibu kuhusu haya ya Mh. Lissu!

    ha ha ha ha! Kibelaaaa weee!
  15. M

    Kambi ya Upinzani yatilia shaka Uteuzi wa JK

    Hivi ukisoma unaelewa au unalewa??? huu ni upofu wa kujitakia huu! yani hata kama hujui kusoma kweli picha pia huielewi??
  16. M

    Kambi ya Upinzani yatilia shaka Uteuzi wa JK

    kumbe ndiyo maana JKilaza alisema bora Dr. Slaa awe rais kuliko Lissu kuingia mjengoni?? ha ha ha!Hii imekaa njema sana. aaaaaah! kibelaaaaa!!
  17. M

    Dr Slaa ndani Kinampanda

    Singida dodoma na moro bado sana kwa nini wasihamie huko kabisa??
  18. M

    Joshua Mulundi

    makubwa haya!
  19. M

    Kikwete for London Family Planning summit

    Muuaji mwache aende zake! siye tupige maombi tu hiyo ndege isimrudishe hapa! afie huko huko!
  20. M

    Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    Nimeshaunga mkono siku nyingi
Back
Top Bottom