From spiritual dimension, "Tanganyika"
Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi bora tokea mwanzo wake. Hii ni matokeo ya laana ya kumuacha Mungu, Period.
Tanzania ilikabidhiwa kwa shetani baada ya uhuru kwenye lile tendo la kupandisha bendera juu ya mlima Kilimanjaro. Apandacho mtu ndicho...
Ni kweli mkuu ndivyo ilivyo kuwa. Those days kupata gari ilikuwa very expensive,Leo ukiwa na milion 4, unapata gari. na pesa zilikuwa ngumu kuliko ilivyo leo. Ujenzi ni long term investment inayohitaji pesa nyingi na usimamizi wa hali ya juu. sasa usipo kuwa na uwezo wa kufika site on time...
Having HIv is not an end of life. there is hope you can turn to and live assured life.
Do you believe that Jesus can heal your HIV?
If yes, them it is time to get to him. Go after salvation, Accept Jesus as the Lord and saviour. He will surely purify your blood and you will become a new breed...
Jamaa anafaa, apewe muda kidogo. Maana sasa bandari panazidi kunyooka. mapato yaliyo kuwa yanapatikana kwa wiki sasa ni siku tatu tu. Tumpe support stahili. Ni viongozi wachache waliopo ktk serikali hii. Safi Mwakyembe.
nadhani ni hii hapa wakuu...
Mambo ndani ya usalama sasa yanakwenda vibaya,mpango wa kummaliza kabisa Dr Slaa umeiva. Wakurugenzi wa usalama walikaa kikao chao wiki iliyopita na kufikia maamuzi ya kumuondoa kwenye sura ya dunia Dr Slaa wakiamini kwamba Slaa ndiye mzizi katika Chadema na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.