mimi nasoma muhas first year, yes specials ni zaidi ya nusu, mkuu kuna peoples zina challenge kupita watu wa special school japo special wametawala!natukifika huku tunauvua uspecial na u T.O wote tunakuwa sawa!unaweza ukaushabikia uspecial halafu ukadisco! H/work mtafute japhet john akuelezee...
akili za rais wa jamhuri ya muungano wa visiwa vya zimbabwe na tanzania, nisawa na za 'young mosquito'. wazungu wakimpigia makafi anaona raha, kumbe wanamuua silently!
aah! mbona kwa wana sisiem amekimbiza, maana mwenyesofa mwenyewe elimu yake .... wazungu wamemtunuku udaktari kwa juhudi zake za kugawa madini na kushinda juu kama mwewe au kama mwanafunzi wa urubani!
ngoja ni mchane live huyu jamaa; nikiwa advance ilboru high school, mkuu wa shule hiyo ambaye kwa sasa amefukuzwa, alitulazimisha twende kwenye mkutano wa medey! kwenye mkutano alituahidi kununua coster ya shule na kuanzisha kilimo cha ndizi kwa gharama zake , akawaambia mabroo zetu waliokuwa...
mjomba nape bora ukapime IQ. huenda IQ yako ni chini ya 70! ni hatari sana mjomba. bado kidogo utaanza kutokwa udenda maana kila siku unazidi kuwa..... pamoja wana 'nyinyiem' wenzako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.