Search results

  1. KATUMBACHAKO

    Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

    unakunywa Napoleon:( ...sitasahau hii napoleon ilitaka kunitoa uhai xmas 2015
  2. KATUMBACHAKO

    Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

    ME NASHUKURU TU! KIPINDINDI CHOTE CHA DR. POMBE MAGU... POMBE HAZIJAPANDA BEI....TUNAENJOY
  3. KATUMBACHAKO

    Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

    Alipigwa risasi na maafisa usalama nje ya ofisi mara baada ya tukio
  4. KATUMBACHAKO

    Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

    kwani shule hujaenda bado? wenzio washaripoti mashulenii
  5. KATUMBACHAKO

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Tatu..kwa hali ya kisiasa tuliyonayo! Ila serikali moja ni nzuri zaidi..ila hali ya muungano hairuhusu! Asante
  6. KATUMBACHAKO

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Kuna demu aliniganda sana...!
  7. KATUMBACHAKO

    Sintofahamu yatanda kwa walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini juu ya kuhamishiwa shule za msingi (IKAMA)

    Waende tu huko...maana wapo mashuleni hawana kazi. Muda wote ni umbea tu na majungu! Watanyooka...na wajifunze kabisa nyimbo za kuwaimbia watoto... Maana primary bila nyimbo somo haliendi. .mara kiranja wa awali anakuja..'mwalimu Mwajuma kajinyea....' Hapo sasa...
  8. KATUMBACHAKO

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Ulitaka awafanyie nn?
  9. KATUMBACHAKO

    Kumbe vyeti feki ni kupunguza wafanyakazi serikali haina pesa, vingine mbwembwe

    Si kweli...mliuziana vyeti! Acha ile kwenu! Na wengi wengi mlikuwa wala rushwa wakubwa
  10. KATUMBACHAKO

    Serikali hii naipongeza kwa huu ukaguzi wa Vyeti Feki na Tata

    Mtu mmoja kwa watu 20,000? Ajabu 1÷20,000= 0.0005%
  11. KATUMBACHAKO

    Dr. Benson Bana: Rais alishauriwa vibaya kuhusu waliogushi vyeti

    Basi ajiriwe hata mchoma MKAA akafundishe advanced maths. Inashangaza msomi unashindwa kujua umuhimu wa cheti?
Back
Top Bottom