Muungano ulikuwa na matatizo toka siku ya kwanza ya kuundwa kwake.
Utavunjika tu siku ccm itatoka madarakani, kama ccm itaendelea kuwepo tusitegeemee mabadiliko yoyote yale.
Tatizo wabunge wengi wa ccm ni njaa, hawawezi kuwa bold enough kuzungumzia issue sensitive yenye malsahi kitaifa, wako wapi wakina selelii?, hivyo tusitegemee jipya katika katiba mpya.
Ikiwa walikubali wanasiasa wawe wasimamizi wa baraza la maadili la mahakama, hiyo tu inatupa picha wabunge wa...
Alichosema Tindu Lisu nimekisikia, pia amegusia sababu ya kuundwa muungano 1964, na mambo mengine yeliyooongezwa kinyamela, ila kapasua jipu lingine kuwa muda mrefu muungano kuwa "hatuhitaji tena propaganda tunahitaji ukweli uwekwe hadharani".
Maoni yangu, ikiwa ccm itaanguka upande wowote ule...
pole sana mpendwa, usiumie sana, nipm pamoja na picha yako full, we will find some missing connection, tutamuonesha kuwa "jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pepembeni" do it ASAP, POLE SANA
Mimi ni mtanganyika orijinali na pata huo mfadhaiko mpaka ulowe ukimaliza .
Nipe faida kuu 5 za muungano na sizewe za kufikirika!.
Kama wewe ni mwanafamilia wa wanasihasa njaa wanaofadika na muungano lazima utautetea tu.
Kajichome moto basi kama Boazizi ili uonesha mapenzi yako nahuo muungano, na pia utakuwa umeutetea vuzuri.
ILa kwa kifupi ni kuwa muungano hauna ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili.
Pia hakuna faida yotote kwa Bara kuusu muungano
Kwa visiwani ni faida ipo kwa wafanyabiashara wachache na...
Muungano wa nini banaaaaaaaaaa!, aaaaaaaaaaagh, wewe uteetee ugharimu maisha yako, mimi wala sitaki hata kuusikia.
Etu undugu, undugu gani wa lawama na chuki, ufilie mbali tu huu mungano
Hakuna kosa kubwa nyerere alilofanya kama kuleta huu mungano, kuliko hata siasa za ujamaa, kwa sababu moja kubwa ni kuwa Tanganyika imetoka kwenye ukoloni halafu ikawa mkoloni.
Sasa kitu kingine ni kuwa tunafanya makosa makubwa kuona kuwa wazanzibari wanafaidika na huu muungano, ukweli ni...
Mkuu hakuna faida, labda faida ilikuwa ni kulinda mapinduzi ya 1964, lakini muungano hauna sura ya umoja na mshikamano, umekaa kiusanii tu.
Sasa ni wakati wa muungano kuvunjwa, kila mtu abebe msalaba wake, sio kutoa vyeo na nafasi kwa wachache wanaojua faida zake.
Unajua huu muungano kuna waoaufaidi tena sana tu, hasa viongozi wa ccm na jamaa zao, lakini ukweli ni kuwa muungano wenye utata sana, sasa ni wakati muafaka wa kuhoji huu muungano, hizi hasira wanazozinesha wananchi ni manifestation ya ubabe wa kijinga wa viongozi.
Ningependa uvunjwe kama...
Ninauhakika kabisha kuwa Shein hakushinda ule uchaguzi, ni basi tuu Maalim aliamua kuepusha shari, hapo inaonesha ni kwa nini huu muungano upo kwa ajili ya kunufaisha watu wachache tuu.
Hapa Nonda umechemka, yaani tudumishe muungano tusioujua kisa mapezi ya wanasiasa?, kama wamaoana wao si wao. Hizi ndio faida wanazozidai za muungano?.
Muungano lazima uwe wa kimaslahi, sio maslahi ya wanasiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.